Tetesi: Hatimaye general manager Wa acacia akimbia nchi

Hii habari ya huyo GM kuikimbia nchi source yako ni ipi? Au umezichukua Lumumba?

 
mikataba ya serikali na wawekezaji, lissu inamhusu nini!
 
Atakimbia nchi kwani yeye ndiye mwenye mgodi. Upuuzi wenu tu.
 
Kwani yamebaki masaa mangapi kufika kesho?
 
Mikataba walisaini CCM akiwemo Baba Bashite. Leo hii CCM hiyo hiyo inatuaminisha Accacia ni wezi. Acheni undumilakuwili
 
Nimependa hapo uliposema Sokoine angekuwepo Lissu ndio angejua nini maana ya Uzalendo[emoji1] [emoji1]
 
Kwanini usivumilie mpaka kesho!
Au ndio mmeanza kuandaa movie ya kesho!
Ole wenu kesho kwenye ripoti tuambiwe Fulani amekimbia!
 
Tuisubiri hiyo ripoti, jii biashara ya kupigia ramli kila jambo haitufai.
 
Amekwambia kuwa amekimbia?

kulikuwa na arrest order kwa hiyo ameikwepa?

Acheni maneno maneno!
 
Umeleta taarifa au umbea.Ficha maladhi basi hata kidogo we unaelewa nin kuhusu mikataba ya madini acheni utoto asee watu wanawageuza wananchi kama mpira wa kuchezea afu unaleta propaganda.
 
Enzi hizo si hatukuwa na uelewa kwa sasa tunaweledi wa kuelewa tunaona lisu ni mtetezi wa wezi,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…