Tetesi: Hatimaye general manager Wa acacia akimbia nchi

Umeleta taarifa au umbea.Ficha maladhi basi hata kidogo we unaelewa nin kuhusu mikataba ya madini acheni utoto asee watu wanawageuza wananchi kama mpira wa kuchezea afu unaleta propaganda.
Mjumbe mara nyingi auwawi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Bila shaka hujielewi majira yanavyoenda,mikataba ndiyo lissu anawakumbushia wakati mkisema ndiyoooooooooo,,,kwa sasa mmebanwa nayo mpaka mmetoa macho kodo,,aibu yenuuu, ,Mungu ibariki chadema itengue mikataba tuachane na longo longo,
 
Lisu akimbie nchi? Kwa kosa gani au ana tuhuma gani za kufanya akimbie nchi? Kama alimwita JPM Dikteta uchwara na hakukimbia leo atakimbizwa na nini hasa?!?!
Amekula hela za accacia bila kuwasaidia upinzani wa bongo njaa tupu,,mbona lowasa haongelei kuhusu hili sakata!?
 
Kuna watu mnachukulia poa sana vitu ambavyo ni serious...Hii game siyo ya kuzungusha mikono...ni serious business

Kama hii issue ni serious MWIZI WAKO ANATOROKAJE NDANI YA MJENGO WAKO HUKU SECURITY SYSTEM IKO KILA GADO KONA ZOTE au kasepa na UNGO[emoji38][emoji38]
 
Enzi hizo si hatukuwa na uelewa kwa sasa tunaweledi wa kuelewa tunaona lisu ni mtetezi wa wezi,,
Kutojua siyo an excuse ya kuwajibika. Na viongozi waliopita all most wote ni PhD holder isipokuwa Mwinyi. Kwa hiyo huwezi kudai hamkuwa na uelewa.
 
Meneja kakimbia kabla hatujamchomeka vijiti kwenye makalio.....pumbavu sana huyu mtu katuachaia familia yetu walemavu wawili.
Nahamishia hasira kwa Katundu Kalisu kuanzia leo!
 


Atakuwa amechukua tahadhari za kawaida. Waswahili msije mkamtia ndani au kumnyanganya passport. Hata wakati ule mlinzi wa afrika kusini alipomtwanga risasi lile jambazi lililojaribu kuteka mzigo wa dhahabu GGM, naye alichukua tahad hari hizohizo. Waswahili hatuaminiki kufanya maamuzi ya busara.
 
TAKATAKA!!
 
labda kwenye lori la jpm umeangalia nyuma. kama hutazami mbele huwezi elewa.
 
Memeja wa Mgodi ni muajiriwa tu hajui habari ya mikataba. Na Bulyanhulu imekuwa pamoja na migodi mingine mameneja wamekuwa wakiacha kazi wengi tu jambo ambalo ni la kawaida kwenye ajira, baadhi ya mameneja waliopita pale ni pamoja na Neil Witeker,Grant Piece, Michael Mracek,Bi Mechel na wengine wengi
 
Walizoea huyu ni Magufuli
Kama soda basi imeingiliwa na Gongo
Mbona watatulia tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…