Tetesi: Hatimaye general manager Wa acacia akimbia nchi

Naliona Azimio la Arusha lazaliwa upya,lakini ili lifanikiwe inatakiwa Culture Revolution,ndio twende sawa.
 
Mtoa uzi huu nahisi leo amekula futari ya maharage kamix na nyanya chungu tumpe pole
 
Mzalendo halisi hawezi KUDHULUMU fedha za msiba.
 

Tukisema watu kama hawa wanyongwe, tunapigwa banned, hamna maneno mengine ya kutumia sasa!!!!!
 
Alipaa na ndege zinazobeba mchanga Wa makanikia toka mgodini au alikuwa kuondokea hapa njia panda ya ulaya.(airport -kipawa).
 
"Kazi hii nilipewa na Mungu sikupewa na mtu yeyote, nipo tayari kutoa sadaka mwili wangu kwa ajili ya watanzania wanyonge"-----Rais John Pombe Magufuli.

Hivi ni wanyonge gani hawa? Kipi hasa kilichoboreka kwa wanyonge hadi sasa?
 
Kitengo cha propaganda cha Lumumba kipo kazini.
Lazima mfe nyie wanafiki, Mungu alishasema Tz lazima ikombolewe toka kwa makupe kama ninyi. Na ndiyo maana kifo ni lazima kama hamtabadilika, na hata Mungu aliwaangamiza watu waovu wote kabla ya kufika nchi ya ahadi. Na kuhakikishia wewe na wenzanko waovu mnaoshabikia tuibiwe mtakufaaaaaaaaa.
 
Angevumilia mpaka kesho tusikilize ripoti kwa pamoja ndo akimbie

Inasemekana Polisi wakikaribia eneo ukiwaona kisha unaanza kukimbia wao lazima wakufukuze kwani wanajua lazima unahusika na uhalifu na unalijua hilo. Huyu bwana kama kweli amekimbia kabla ya taarifa ya pili kutoka inashiria kuwa kuna jambo si zuri kwake naye analijua. Lazima atafuatiliwa tu. Akikamatwa swali la kwanza atakaloulizwa ni: "Kwa nini ulikimbia? Tuambie!"
 
Mtapigwa nje ndani subirini tu.
 
LISU BALA YAANI HILI LICCM NA VIBARAKA VYAKE WANAPOSIKIA NENO"LISU"TUMBO LA MIKATABA MIBOVU LINAANZA
 
Meneja Mkuu wa mgodi wa madini ya dhahabu Bulyanhulu ndugu Graham Crew ameacha kazi.
Chanzo kimeeleza Gazeti la "the Guardian " kuwa ni kweli kuwa Meneja ameacha kazi lakini hakuweza kusema kama hiyo inahusiana na ripoti ya makinikia (mineral concentrate) .
Uongozi wa Acacia hawakuweza kupatikana ili kuthibitisha habari hii.
Ikumbukwe kuwa Acacia tanzania wameshatoa onyo kuwa itawalazimu kusitisha Shughuli zake katika mgodi wa Bulyanhulu kama suala la kusafirisha makinikia halitapatiwa ufumbuzi.

Source : The Guardian Monday 12 June 2017
 
Kwani aliajiriwa na serikali...?
utaona mijitu ya hovyo itakavyoshabikia taarifa hii
na hapo ndipo ripoti ya twaweza kuhusu kila watanzania wanne inapokuwa na nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…