Fanya uoe binamu looh!!I would appreciate kama utaachana na suala la wazazi... uliza au hoji lolote kuhusu mimi na suala zima la kuoa! Ungeendelea kuwahusisha wazazi endapo ningesema wamenikataza kuoa lakini nimesema hawajawahi kuniuliza wala kunihimiza! They're smart, they know mimi ni mtu mzima mwenye akili zangu! They know I know what's best for me! Unamhimiza vipi mtu mzima afanye jambo as if ni mtoto mdogo?! Enh, halafu huko makwenu, mkishahimizwa ndo tayaari mnaanza kutafuta mke hata kama mlikuwa hamjakusudia?!
binamuuuuu!!!mi napendaga mpangilio wako wa hojaa!!Nilitarajia ungetaja basi hayo ya kujifunza! Binafsi, siyaoni manake matendo ya waliooa na wasiooa yanafanana! Mbaya zaidi, mmoja anafanya matendo ya kifedhuli wakati anataka kuiaminisha jamii kwamba yeye ni wa kupigiwa mfano!
etiii?!!!!Hutaki nipate totoz?
Hichi ulichoandika mbona kama bongo movieUmemaliza kila kitu..mi na jamaa angu alikuwa mbishi hivihivi ila binti wa watu anaishi nae wala wazazi wa binti hawamjui na hajawahi enda kuonekana bahati mbaya binti aliugua katika kuhangaika kumuuguza ikashindikana akafariki ubaya ulikuwa jinsi ya kupeleka maiti kwa familia ya binti...wazee wa binti walikomaa wakasema ili kukubali itabidi uitolee mahari hi maiti na faini juu ndo tunazika...baadae akawa anajilaumu bora ningeoa na ningeonekana mana aibu ile isingempata
Kua uyaoneHichi ulichoandika mbona kama bongo movie
Kama wameweza kudumu mpaka sasa wameona, Mariam atakua ashampenda alivyo..... Mariam ndo atalala nae Kitanda kimoja, atampikia na kumpakulia . kama ni kero kwako, utakua umejipa mzigo usio kuhusu.Pombe sasa mpaka aibu.
Kuna watu mahodari sana kufatilia mambo ya watu.Ahahahahahaa we unaendelea kuyaosha au ushamaliza unaosha moja tu..???
Nini kilianza kati ya wazazi na suala la mafedhuli? Au umekuta tu post unakimbilia ku-comment kabla hujajua imeanzia wapi?Wewe umeongelea ndoa kwa ujumla kuwa kuingia kwenye ndoa ni kuingia kwenye timu ya mafedhuli, hivyo usilalamike wakihusisha ndoa ya wazazi wako pia unless utuambia wewe ni mtoto wa nje ya ndoa!!
Fanya uoe binamu looh!!
hahahahaa!
Mnh! Ulikuwa wapi wewe?! Sijakuona tangia huu mwaka uanze... nitafutie na Kim Nana basi manake wewe nishakuona!binamuuuuu!!!mi napendaga mpangilio wako wa hojaa!!
Very true. Wanafanya kazi ya shetani bila kujua.Ukiingia hapa JamiiForums unaweza ukahisi hakuna mahusiano mazuri ya kimapenzi. Wachache waliopatwa na majanga kwenye mahusiano wanataka kutuaminisha wote kuwa mahusiano ni kitu kibaya.
Wanaofurahia mahusiano yao wangesema waje huku kusifia pasingetosha humu ni vile wapo busy ku-Socialize na wapenzi wao.
Don't get twisted, love is a beautiful thing.
Mke awe mvumilivu tu maana jamaa cha pombe balaa
Zamani mtu ukivuta jiko au kuoa.....unaheshimika sana mbele ya jamiii.......na kuwa mfano wa kuigwa kwa vijana wenzako......
Kutokana na ndoa kugeuka kuwa magereza ya mateso.....na vifungo vya dhiki.....kijana kuoa imekuwa habari ya kushangaza sana na pengine kukuonea huruma.....
Wakati wao wanakushangaa.....na wewe unawashangaaa.....
Chichiman, wee cheti chako cha AMREF ushahakiki?Yawezekana labda alikuwa anasubiri kwanza hadi AMREF wahakiki usalama ili waweze kutoa Cheti kilichokuwa certified pengine wiki mbili tatu zijazo Bibie asije " kujuta " na kuanza ratiba za kila Jumanne na Ijumaa kuhudhuria majengo ya Serikali.