Hatimaye Gerald Hando aaga rasmi kambi ya Ukapela

Hatimaye Gerald Hando aaga rasmi kambi ya Ukapela

I would appreciate kama utaachana na suala la wazazi... uliza au hoji lolote kuhusu mimi na suala zima la kuoa! Ungeendelea kuwahusisha wazazi endapo ningesema wamenikataza kuoa lakini nimesema hawajawahi kuniuliza wala kunihimiza! They're smart, they know mimi ni mtu mzima mwenye akili zangu! They know I know what's best for me! Unamhimiza vipi mtu mzima afanye jambo as if ni mtoto mdogo?! Enh, halafu huko makwenu, mkishahimizwa ndo tayaari mnaanza kutafuta mke hata kama mlikuwa hamjakusudia?!
Fanya uoe binamu looh!!
hahahahaa!
 
Nilitarajia ungetaja basi hayo ya kujifunza! Binafsi, siyaoni manake matendo ya waliooa na wasiooa yanafanana! Mbaya zaidi, mmoja anafanya matendo ya kifedhuli wakati anataka kuiaminisha jamii kwamba yeye ni wa kupigiwa mfano!
binamuuuuu!!!mi napendaga mpangilio wako wa hojaa!!
 
Umemaliza kila kitu..mi na jamaa angu alikuwa mbishi hivihivi ila binti wa watu anaishi nae wala wazazi wa binti hawamjui na hajawahi enda kuonekana bahati mbaya binti aliugua katika kuhangaika kumuuguza ikashindikana akafariki ubaya ulikuwa jinsi ya kupeleka maiti kwa familia ya binti...wazee wa binti walikomaa wakasema ili kukubali itabidi uitolee mahari hi maiti na faini juu ndo tunazika...baadae akawa anajilaumu bora ningeoa na ningeonekana mana aibu ile isingempata
Hichi ulichoandika mbona kama bongo movie
 
Pombe sasa mpaka aibu.
Kama wameweza kudumu mpaka sasa wameona, Mariam atakua ashampenda alivyo..... Mariam ndo atalala nae Kitanda kimoja, atampikia na kumpakulia . kama ni kero kwako, utakua umejipa mzigo usio kuhusu.
 
Wewe umeongelea ndoa kwa ujumla kuwa kuingia kwenye ndoa ni kuingia kwenye timu ya mafedhuli, hivyo usilalamike wakihusisha ndoa ya wazazi wako pia unless utuambia wewe ni mtoto wa nje ya ndoa!!
Nini kilianza kati ya wazazi na suala la mafedhuli? Au umekuta tu post unakimbilia ku-comment kabla hujajua imeanzia wapi?
 
Ukiingia hapa JamiiForums unaweza ukahisi hakuna mahusiano mazuri ya kimapenzi. Wachache waliopatwa na majanga kwenye mahusiano wanataka kutuaminisha wote kuwa mahusiano ni kitu kibaya.

Wanaofurahia mahusiano yao wangesema waje huku kusifia pasingetosha humu ni vile wapo busy ku-Socialize na wapenzi wao.

Don't get twisted, love is a beautiful thing.
Very true. Wanafanya kazi ya shetani bila kujua.
 
Zamani mtu ukivuta jiko au kuoa.....unaheshimika sana mbele ya jamiii.......na kuwa mfano wa kuigwa kwa vijana wenzako......

Kutokana na ndoa kugeuka kuwa magereza ya mateso.....na vifungo vya dhiki.....kijana kuoa imekuwa habari ya kushangaza sana na pengine kukuonea huruma.....

Wakati wao wanakushangaa.....na wewe unawashangaaa.....


Maneno ya mtu mwenye kukosa mtu wa kumuoa utayajua tu! Kama wewe umekosa kubali tu lkn usitake kugeuza bahati mbaya yako kuwa ya wote!
 
Kuna mdada mmoja tu mwenye makalio makubwa nimemuona akifunga harusi jumapili iliyopita huko arusha. Hizi zingine vimbaumbau ndio naona vinafunga ndoa. Mtaani atasikia stori za akina dada wenye makalio makubwa, matukio ya harusi na ndoa utakuta ni akina dada wenye miili yao ya wastani......Hii inakuaje aisee!, au wengine ni chombo cha starehe wengne chombo cha kuwekwa ndani?
 
Yawezekana labda alikuwa anasubiri kwanza hadi AMREF wahakiki usalama ili waweze kutoa Cheti kilichokuwa certified pengine wiki mbili tatu zijazo Bibie asije " kujuta " na kuanza ratiba za kila Jumanne na Ijumaa kuhudhuria majengo ya Serikali.
Chichiman, wee cheti chako cha AMREF ushahakiki?
 
Back
Top Bottom