Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,836
- 2,138
Gwajima ni mpinzani halisi na anatumia mbinu ya hali ya juu kuhakikisha Jimbo la Kawe linabaki upinzani.Huu uhujumu anaowafanyia CCM ni wa kiwango cha juu mnoYeye na makonda washauri wao sijui kina Nani Mnyeti kagombea kwao na atashinda, hafu Gwajima kumbe ni mweupe hivi siasa imezalilisha utu wake Sana, na kawe hashindi labda atangazwe kinguvu
Hivi kuna mtu anawalazimisha kuingia JF na kuchangia hata pale uwezo wa kuchambua mambo ni sifuri? Kweli umeelewa nilichoandika? Nyie vijana mnashusha hadhi ya JF!Biblia inalazimisha alikosewa ndo apambane kutafuta kumsamehe mkosaji. Kwa hiyo yeyote hapo ana wajibu huo.
Nguvu yake ni kubwa kiasi Cha kuamua nani awe Rais... sasa nimethibitisha pasi na shaka Kardinali Pengo alikuwa na kadi since then! He wasn't neutral as he was supposed to be but, rather, was not only politically affiliated but also morally and materially supported the party. He is, as he was, actively supporting the party.
Big mistake
Labda alimsindikiza tu.Big mistake
Gwajima bure kabisa,unatembea na Makonda on anything?
Mtu aliepata kura 0 na anachukiwa na kila mtu?
Kawe ndio basi tena,wajumbe lazima wazae na wewe big time!
Mchezo mchafu.Siasa! Siasa! Siasa!
Kamsindikiza,lakini wananchi tunaona....ni bad for optics!Labda alimsindikiza tu.
Very true huyu gwajiboy siwakuamini aliamua aunge juhudi maana awamu hii ilikuwa mwendo wa kusifia unakula ulajiGwajima ni mpinzani halisi na anatumia mbinu ya hali ya juu kuhakikisha Jimbo la Kawe linabaki upinzani.Huu uhujumu anaowafanyia CCM ni wa kiwango cha juu mno
HiyohiyoIle aliyomtukana Kardinali Pengo?
Kweli mambo yanabadilika sasa hv gwaji boy ni mwanasiasa afu DAB ni mhubiri wa injiliMAKONDA, GWAJIMA USO KWA USO KWA KARDINALI PENGO
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda pamoja na Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kawe Askofu Gwajima kwa pamoja wamemtembelea Kadrinali Pengo mapema leo.
View attachment 1577160
View attachment 1577080
View attachment 1577083
tuna fukua makaburiMAKONDA, GWAJIMA USO KWA USO KWA KARDINALI PENGO
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda pamoja na Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kawe Askofu Gwajima kwa pamoja wamemtembelea Kadrinali Pengo mapema leo.
View attachment 1577160
View attachment 1577080
View attachment 1577083
Wana mtia Mzee Pengo kihoro na hamu kwa kuja na wake zao.MAKONDA, GWAJIMA USO KWA USO KWA KARDINALI PENGO
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda pamoja na Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kawe Askofu Gwajima kwa pamoja wamemtembelea Kadrinali Pengo mapema leo.
View attachment 1577160
View attachment 1577080
View attachment 1577083
Janja janja tuu, maji shingoni wanatafuta mti wa kushika.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ruwa'ichi ni cardinal tangu lini?