Uchaguzi 2020 Hatimaye Gwajima, Pengo na Makonda Wamekutana Pamoja kwa furaha kubwa

Uchaguzi 2020 Hatimaye Gwajima, Pengo na Makonda Wamekutana Pamoja kwa furaha kubwa

Yeye na makonda washauri wao sijui kina Nani Mnyeti kagombea kwao na atashinda, hafu Gwajima kumbe ni mweupe hivi siasa imezalilisha utu wake Sana, na kawe hashindi labda atangazwe kinguvu
Gwajima ni mpinzani halisi na anatumia mbinu ya hali ya juu kuhakikisha Jimbo la Kawe linabaki upinzani.Huu uhujumu anaowafanyia CCM ni wa kiwango cha juu mno
 
Biblia inalazimisha alikosewa ndo apambane kutafuta kumsamehe mkosaji. Kwa hiyo yeyote hapo ana wajibu huo.
Hivi kuna mtu anawalazimisha kuingia JF na kuchangia hata pale uwezo wa kuchambua mambo ni sifuri? Kweli umeelewa nilichoandika? Nyie vijana mnashusha hadhi ya JF!
 
... sasa nimethibitisha pasi na shaka Kardinali Pengo alikuwa na kadi since then! He wasn't neutral as he was supposed to be but, rather, was not only politically affiliated but also morally and materially supported the party. He is, as he was, actively supporting the party.
Nguvu yake ni kubwa kiasi Cha kuamua nani awe Rais
 
Gwajima ni mpinzani halisi na anatumia mbinu ya hali ya juu kuhakikisha Jimbo la Kawe linabaki upinzani.Huu uhujumu anaowafanyia CCM ni wa kiwango cha juu mno
Very true huyu gwajiboy siwakuamini aliamua aunge juhudi maana awamu hii ilikuwa mwendo wa kusifia unakula ulaji
 
Siasa ni sabuni ya kusafisha mabaya kuwa mema na wakati huohuo kufanya mema yaonekane mabaya wakati mwingine siasa ni kucheza tu na akili za watu
 
Kumbe Wasukuma ni "mabumunda".....upumbavu gani huu?Yaani Makonda na Gwajima bado wanamkejeli mwenyezi mungu!
Binadamu huwezi chagui utubu dhambi ipi na uache ipi......Makonda atubu kwanza dhambi ya "MAUAJI" na Gwajima naye atubie UZINZI wake! VINGINEVYO WANAJISUMBUA TU
 
MAKONDA, GWAJIMA USO KWA USO KWA KARDINALI PENGO

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda pamoja na Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kawe Askofu Gwajima kwa pamoja wamemtembelea Kadrinali Pengo mapema leo.

View attachment 1577160

View attachment 1577080
View attachment 1577083
Wana mtia Mzee Pengo kihoro na hamu kwa kuja na wake zao.
Anatamani hata asingelikuwa Askofu angelikuwa na mama nyumbani wa kumsaidia angalau kufagia nyumba na kumtandikia kitanda.
Sasa maisha ya uzee bila ya Mke wala watoto ni Hatari tupu. na ukiwa
 
Back
Top Bottom