Hatimaye Haji Manara atangaza ndoa rasmi na ZaiyLissa. Mastaa kibao akiwemo JB wameunga mkono

Hatimaye Haji Manara atangaza ndoa rasmi na ZaiyLissa. Mastaa kibao akiwemo JB wameunga mkono

View attachment 2839534Wahenga wanasema mapenzi ni kikohozi hakiwezi kufichika .

Inaonekana Zainabu fundi sana naona ndugu yetu Haji Manara kakolea na penzi analopewa na Zai mpaka kaamua kuvunja kiapo chake cha kutooa tena mpaka anaingia kaburini.

Halafu imekuwa ghafla sana aisee hata miezi mitatu haijaisha Bugati kama Bugati kapagawa mpaka anatangaza ndoa 😂😂😂😂😂😂😂sisi yetu macho bwana.

Tunangojea mualiko twende tukale ubwabwa huku tunaweka notification on maana lolote linaweza kutokea kati yao maana wamekutana pipa na mfuniko halafu wote wapenda kiki 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

View attachment 2839517


Ila JB naye mnafki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

View attachment 2839520View attachment 2839524
huu mzigo manara hauwezi, aache kulazimisha mambo. umri wenyewe umeenda. ila huyu binti anajua kweli kuchukua fursa za kiki, yupo strategic na atafika mbali bila shaka huko kwenye bongo movie.
 
Kwa wazazi wenye uelewa mpana hawezi katu kumuoszesha bint Yao haji

Haji Ni tapeli wa mapenzi
sidhani kama ni tapeli wa mapenzi, anavamia mizigo asiyoiweza, sasa kama kale katoto shombe ka shinyanga kalikomwaibisha, kalisema wazi kabisa kwamba kenyewe bado umri mdogo kanahitaji kufurahishwa, meaning, kanahitaji kupewa shoo za kueleweka. si mnaenda kujiaibisha tu huko? meaning jamaa hakukidhi viwango akaona hafurahii maisha.
 
Back
Top Bottom