akajasembamba
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 1,179
- 1,794
Acha kujipendekeza kwa waarabu waliowahasi babu zako kama mifugo, mnatia kinyaa sana watumwa wa kujipendekeza, mwarabu na mzungu na myahudi wote wanatuona nyani tu hata uvae kanzu safi vipi.Uharo mwingine huu wa Musrael mweusi wa Makete.π
Mnavyolinganisha hamasi na Israeli, ndo ninao hamnazo kabisa. HawalinginOya! Ukipata fursa pitia picha za Gaza uniambie nini utakiona pale, utadhani wamepigwa nyuklia, halafu wamepoteza watu zaidi ya 15,000 na raia wake wanateseka kwa kutegemea misaada, sasa hapo kwa mtu mwenye akili mlikua mnategemea nini haswa....
Ww jamana huwa unashuda mahali upo ukrain mara huku Israel. Kama Malaya aliyekubuhu hivije hayo mazombi yenu zaidi ya 15,000 mtayafufua? Na usisahau bado kipigo kiko pale pale, yaani nimejaribu kujiuliza mara mia naishia kucheka tu, nyie watu zaidi ya kuvaa mikanzu mna nini kingine mnachoweza...maana hata hizo hela za uarabuni ilikua kwa elimu ya mzungu kugundua mafuta.
jibu hoja zakeNaona unahangaika sana
angetakaa mngenuna kakubali eti kapata somo , a wavaa kobazHuwezi kuelewa mtoto mdogo ila israel kapata somo ndio maana kakaa na wanaume mezani baada ya miezi miwili bila ya mafanikio yoyote huku na yeye akificha aibu ya makamanda wake aliyotumia gharama kubwa kuwatrain kushindwa kuwaokoa mateka mbele ya mgambo
mmekosa cha kuchangiaEndelea kutapatapa
vita isiyo na hasara ni ile ya kwenye muvi tuMkuu Pande zote zimepata hasara! IDF imepoteza askari wengi kuliko unavyofikiri! Ingawa ni Ukweli usiopingika kuwa Hamasi wamepata kipigo ambacho kimegarimu askari na makamanda wengi!
Hao wazungu wenyewe hadi leo wanaenda kushangaa pyramids na kujiuliza zilijiengwa vipi kipindi amabpo hakuna mitambo na macrane
Mnavyolinganisha hamasi na Israeli, ndo ninao hamnazo kabisa. Hawalingin
Kwa idadi
Kwa zana za vita
Kwa uchumi
..wao wanapambana na dhuluma za mazayunu .kwa kila namna
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Hujui kwamba muarabu ndio alianza civilization hapa duniani ndio maana nasema tatizo lako ni elimu huna unavhojua zaidi ya unacholishwa na wachungaji wa mbagala na movie, earliest civilization on earth ilianza midfle east na sio ulaya
Pyramids hazikuwahi kujengwa na waarabu.Hao wazungu wenyewe hadi leo wanaenda kushangaa pyramids na kujiuliza zilijiengwa vipi kipindi amabpo hakuna mitambo na macrane
Wewe ni gaidiHuo uharo ukiandikwa hapo juu? Weka link ya Al Jazeera ukiweka najitoa JF sasa hivi.
Iraq na syria wanakaa wazungu???Ona dini inavyokufanya uwe boya, Mesopotamia kabla ujio wa uislamu walikua wamestaarabika na wanafanya makubwa na waliishi watu waliokua wanaongea Akkadian, Eblaite, Elamite, Phoenician, Semitic, and Sumerian
Huyo 'mungu' wenu muarabu aliwadumaza na hiyo dini yake na kusababisha ujinga ukafika mpaka kwenu nyie hapo Tandale.
Sasa hiyo ni akili? Eti wamisri siyo waarabu , kuna haja kweli ya kuendelea kujibishana na wewe? Ok kwa hiyo misri ni wazungu au weusi kama wewe? Embu tupe jibu moja tuBila wazungu yaani hao miungu wenu waarabu wangekua wanasota huko, leo hii mzungu ndiye anailinda hiyo Saudi Arabia ambako yule muarabu 'mungu' wenu alibuni hiyo dini.
Halafu hizo pyramids unazojivunia zilijengwa na Wamisri kabla hawajajiunga hiyo ambayo hudumaza akili, na kwa aarifa yako Wamisri sio Waarabu, basi tu waliachia waarabu wakaja kubadilisha mfumo wao wa maisha na kuwadumaza, ni vile vile tu hata Waajemi wa Iran, ni watu wenye akili sana sema hiyo dini imewachelesha sana.
Hana uwezo wa kukataaangetakaa mngenuna kakubali eti kapata somo , a wavaa kobaz
Huwezi kuelewa mtoto mdogo ila israel kapata somo ndio maana kakaa na wanaume mezani baada ya miezi miwili bila ya mafanikio yoyote huku na yeye akificha aibu ya makamanda wake aliyotumia gharama kubwa kuwatrain kushindwa kuwaokoa mateka mbele ya mgambo
PoleWafungwa watatu wakipalestina walioachiwa wanenyongwa genge la magaidi wa hamasi unajua kuhusu hili ?
Kwani october 7 waliingia wapi? Halafu vita ni timing kila mtu ana njia zake za kupigana kwani hujui kwamba kila siku makamanda wa idf wanazikwa pia unadhani nani anawaua? Acha pumba hadi israel kukubali kubadilishana mateka hakuna aliyetegemea hata wewe, huo ndio unaume tunaozungumzia hapaWanaume gani! Hao wavaa misuli? Wewe kweli hazimo, watu wamepukutishwa zaidi ya 15,000 badala ya kuumia na kusikitika unawaita wanaume? Kama wanaume kwa nini wamefyata mbupu kwenye mashimo! Si wangejitokeza kupambana na IDF ili tuuone huo uanaume wao? Wenzao IDF wamewafuata huko huko Gaza, badala ya kupigania watu wao wameamua kujificha kwenye mashimo huku wakiacha kipondo kikiendelea hadi huko mashimoni! Au kama wana nguvu na wao wangeingia kule Israel hapo tungesema wavaa kobazi na musuli ni wanaume! Na wasipotubu Israel safari hii inawamaliza wote, hakuna cha mtoto, mwanamke wala mwanaume, watasafishwa wote! Wewe unatumia marungu kupigana na Israel kweli?
Sasa mossad idf cia nawengine wameshindwa kuwaokoa mateka waoTatizo kubwa unaandika bila kujua sababu. Sababu ya Israel kukubali ni hizi
1. Miongoni mwa wanaoshikiliwa mateka na Hamas ni wamarekani, wajerumani, France uingereza na baadhi ya nchi za asia.
Hao wa magharibi ni waungaji mkono wa Israel, hivyo wamemuomba Israel afanye mkataba ili raia wao wasiuwawe kwenye mashimo wanakishikiliwa. Israel alikuwa hana chaguo ilikuwa kukubali ombi la washirika wake.
Hata hivyo katika idadi ya wanaoachia.na Hamas wa Marekani hawamo mpaka muda huu, na hiyo siyo kwa bahati mbaya , ni mkakati wa Hamas ili waje na madai ya mkataba mwingine kwa kuongeza madai.
Ila baada ya siku ya kesho utasikia.ninachokuambia
Mossad ipi hii iloshindwa kugundua kama kuna kipigo kinatokea au hii iloshindwa kuokoa mateka wao zaidi ya 1200Ukitaka juwa balaa la mossad waulize Manazi wa Ugerman kiasi serikali ya Genrma ilifika mahali na kusema poo kwa Israel maana hakuna alie Baki hai hata leo..