Wanaume gani! Hao wavaa misuli? Wewe kweli hazimo, watu wamepukutishwa zaidi ya 15,000 badala ya kuumia na kusikitika unawaita wanaume? Kama wanaume kwa nini wamefyata mbupu kwenye mashimo! Si wangejitokeza kupambana na IDF ili tuuone huo uanaume wao? Wenzao IDF wamewafuata huko huko Gaza, badala ya kupigania watu wao wameamua kujificha kwenye mashimo huku wakiacha kipondo kikiendelea hadi huko mashimoni! Au kama wana nguvu na wao wangeingia kule Israel hapo tungesema wavaa kobazi na musuli ni wanaume! Na wasipotubu Israel safari hii inawamaliza wote, hakuna cha mtoto, mwanamke wala mwanaume, watasafishwa wote! Wewe unatumia marungu kupigana na Israel kweli?