Hatimaye Israel yagundua mlango wa handaki lililo kwenye hospitali ya Al Shifa

Hatimaye Israel yagundua mlango wa handaki lililo kwenye hospitali ya Al Shifa

Acha ushabiki kule westbank hakuna Hamas ila mbona kila siku walowezi wanaiba ardhi. Yaani mnajifichia kwenye kichaka cha Hamas utadhani maeneo ambayo Hamas haina control ndio kuna amani?

Sasa kikundi kimoja kinahusika vipi na wapalestina wote? Wamekufa watoto 5000 unadhani hao ni Hamas? Huwezi kuuwa kila mtu Nigeria kisa Boko Haram imevamia Cameroon.

Ndio hivyo tutaendelea kupigania haki ya wanaoonewa kma mnavyowapigania Ukraine. Mahaba ya kidini yamekujaa kichwani jifunze kwa Askofu Gwajima na Pastor Mgogo wamegoma kuunga mkono hao walowezi. Unataka kusema unajua dini sana kuliko Gwajima au Mgogo?
Hamas ni tatizo la Wapalestina, wao wanaona Mahamd Abbas na PLO kashindwa ku deliver wakaona msaada wataupata kwa HAMAS. Hamas naye ana deliver kweli na hapo ndilo tatizo linapoanzia. Hamas wapo kila sehemu Palestina.

Ingawa wanashindwa chaguzi baadhi ya maeneo lakini wapo kila sehemu. Huwezi kusema wapo Gaza pekee na Westbank hawapo.

Haki mnayoitaka na Israel na wao huitafuta hiyo hiyo. Ama mkubali waishi pamoja bila shida ua muwaite walowezi na vita isiyo na kikomo iendelee.

Binafsi sina tatizo na vita maana nafahamu vita ndio mwanzo wa kupata amani ya kudumu. Na ndio maana nasisitiza waendelee kupigana mpaka tumpate mshindi wa kivita. Huu mgogoro hakuna diplomasia inayoweza kuutatua.

Wewe na wenye mawazo kama yako endeleeni kuchochea vita isiyo isha. Niliisha kwambia hakuan ardi isiyo na mwenyewe katika dunia hii. Kwasababu hilo taifa hawataki kushi kwa amani ni vyema wapigane mpaka tumpate mshindi, hilo ndilo litakuwa suluhisho pekee kwenye mgogoro huu, lakini siyo historia.
 
Wapi wamesema wanataka yote, wanachopinga ni walowezi wa kiyahudi laki 5 kuishi kimabavu kwenye ardhi yao.

Mbona Ukraine hamsemi hivi kuwa waachwe wapigane na Russia ili mshindi achukue vyote.

Wanapigana wapi, Wapalestina ndio wanapigwa. Nchi hairuhusiwi kuwa na jeshi, silaha umeme au maji utasemaje wanapigana?
Niliisha sema historia haina nafasi kwenye mgogoro huu. Wapalestina wanataka ardhi yao, hiyo ardhi ni ipi na ardhi ya waisrael ni ipi? Somo pekee ni ku coexist, wakubali kuishi kama taifa moja lenye tabaka tofauti, lakini kutaka mmoja asiishi kwamaba kuna eneo la Palestina lakini hakuna eneo la Israel hapo mnapoteza muda wenu.

Binafsi naikubali vita, kwa mana siku ikiisha watu wata heshimiana, lakini hili la cease fire 4 days na kubadirishana mateka tena mnaanza, sisis tuta enjoy sana.

Kuna tofauti kubwa sna kati ya Russia na Ukraine. na hawa Israel na Palestine. Urusi na Ukraine wana mipaka inayofahamika , tofauti hii mipaka inayo hama kila siku. Palestine waridhike na hicho kidogo walicho nacho, nchi ile haiongezeki, ila raia wake wanaongezeka. Wakae west bank, huko Gaza na maeneo ya Jerusalem waishi wote.
hakuna mbadala kwenye hili zaidi ya kukubali kupoteza.
Sasa hivi Hamas wanapigana na IDF hawapigwi, na chochote kinaweza kutokea, wakishinda Hamas heri kwao na wakishinda IDF pia heri kwao.

Tizama sasa wa kubaliana cease fire 4 days, wanabadirishana mateka, bado unasema Hamas/Palesine wanapigwa?.

Mi nasisitiza waongeze nguvu waanze upya, watwangane mpaka tumpate mshindi wa kivita. Diplomasia ni UONGO.
 
Acha ushabiki kule westbank hakuna Hamas ila mbona kila siku walowezi wanaiba ardhi. Yaani mnajifichia kwenye kichaka cha Hamas utadhani maeneo ambayo Hamas haina control ndio kuna amani?

Sasa kikundi kimoja kinahusika vipi na wapalestina wote? Wamekufa watoto 5000 unadhani hao ni Hamas? Huwezi kuuwa kila mtu Nigeria kisa Boko Haram imevamia Cameroon.

Ndio hivyo tutaendelea kupigania haki ya wanaoonewa kma mnavyowapigania Ukraine. Mahaba ya kidini yamekujaa kichwani jifunze kwa Askofu Gwajima na Pastor Mgogo wamegoma kuunga mkono hao walowezi. Unataka kusema unajua dini sana kuliko Gwajima au Mgogo?
Pole lakini naunga mkono vita hii, na ninaomba iendelee watahesabu maiti ikiisha. Tunataka sulluhu ya kudumu siyo hizi cease fire. Hamas ni tatizo, na kama wana huruma na raia wa taifa lao waache vita, lasivyo wataendelea kusababisha mauaji yasiyo ya lazima kwa raia wasio husika.
We unadhani kwasababu CCM wanatawala, basi ACT hawapo?
 
Mi nasisitiza waongeze nguvu waanze upya, watwangane mpaka tumpate mshindi wa kivita. Diplomasia ni UONGO.
Vita haijawahi maliza mgogoro ndio huchochea vita zaidi so hata ashinde nani kuna revenge itaandaliwa tu ndani ya miaka 5.
Urusi na Ukraine wana mipaka inayofahamika
Acha uongo mfano Russia imepora crimea ila Ukraine kwenye ramani anatambua crimea ni eneo lake so hata wao mipaka ni contested. Cha ajabu Ukraine kupambania kurudisha ardhi yake mnasupport ila palestina akiirejesha anaitwa gaidi.
Wapalestina wanataka ardhi yao, hiyo ardhi ni ipi na ardhi ya waisrael ni ipi? Somo pekee ni ku coexist, wakubali kuishi kama taifa moja lenye tabaka tofauti, lakini kutaka mmoja asiishi kwamaba kuna eneo la Palestina lakini hakuna eneo la Israel hapo mnapoteza muda wenu.
Hata sijui unaongea nini, tatizo sio palestina hawaitaki Israel, tatizo ni Israel kupora ardhi hiyo hiyo ndogo waliobakiziwa wapalestina. Nimeshasema 40% ya West Bank inakaliwa na wayahudi laki 5 kinyume na sheria. Hao wanaitwa settlers, sasa hiyo sio sawa kila mtu abaki kwake sio kuja kupora kidogo kilichobaki.
Palestine waridhike na hicho kidogo walicho nacho, nchi ile haiongezeki, ila raia wake wanaongezeka. Wakae west bank, huko Gaza na maeneo ya Jerusalem waishi wote.
hakuna mbadala kwenye hili zaidi ya kukubali kupoteza.
Ndio huko sasa wanaporwa ardhi kila mwaka, kagoogle "walowezi wa kiyahudi" ndio utaelewa mzizi wa mgogoro. Huko unaposema waridhike na kidogo nacho wameporwa sasa sijui unataka waishi wapi
 
Pole lakini naunga mkono vita hii, na ninaomba iendelee watahesabu maiti ikiisha. Tunataka sulluhu ya kudumu siyo hizi cease fire.
Aliyekudanganya vita huleta amani ni nani? Hao Hamas wataamka tena kulipiza kisasi same to Israel waliofiwa na lile shambulizi la oktoba 7 nao wanaandaa revenge so itakuja vita nyingine kubwa zaidi happ mbele. Violence haimalizi violence
Hamas ni tatizo, na kama wana huruma na raia wa taifa lao waache vita, lasivyo wataendelea kusababisha mauaji yasiyo ya lazima kwa raia wasio husika
Ndio hivyo ukitaka ukombozi hakuna shortcut, hata hao wayahudi kipindi Hitler anawachinja million 6 unadhani waliacha vita? Ndio kwanza waliunda special battalions kwenye majeshi ya Allied forces ili kupambana. Obviously Hitler alikua anawatandika bado ila hawakukata tamaa ndio sembuse Palestina.
 
Aliyekudanganya vita huleta amani ni nani? Hao Hamas wataamka tena kulipiza kisasi same to Israel waliofiwa na lile shambulizi la oktoba 7 nao wanaandaa revenge so itakuja vita nyingine kubwa zaidi happ mbele. Violence haimalizi violence

Ndio hivyo ukitaka ukombozi hakuna shortcut, hata hao wayahudi kipindi Hitler anawachinja million 6 unadhani waliacha vita? Ndio kwanza waliunda special battalions kwenye majeshi ya Allied forces ili kupambana. Obviously Hitler alikua anawatandika bado ila hawakukata tamaa ndio sembuse Palestina.
Nfurahi unaanza kuelewa, HAMAS ni tatizo na wanatakiwa kumalizwa ili kumaliza mgogoro uliopo. Mpango wa Israel kuikalia Gaza milele baada ya kuwaondoa Hamas ni mpango mzuri sana. Hawa Hmas waende Iran wakaswali mpaka vichwa vichubuke. Na hapo ndio itakuwa tume maliza tatizo moja.

Hamas hawakomboi chochote wanatafuta shari tu, siyo leo wala kesho hakuna watakachokikomboa. Israel hawaondoki na Hamas watakuwa wanaleta fuju wana sababisha mauti kwa wengine miaka yote iwayo.
 
Vita haijawahi maliza mgogoro ndio huchochea vita zaidi so hata ashinde nani kuna revenge itaandaliwa tu ndani ya miaka 5.

Acha uongo mfano Russia imepora crimea ila Ukraine kwenye ramani anatambua crimea ni eneo lake so hata wao mipaka ni contested. Cha ajabu Ukraine kupambania kurudisha ardhi yake mnasupport ila palestina akiirejesha anaitwa gaidi.

Hata sijui unaongea nini, tatizo sio palestina hawaitaki Israel, tatizo ni Israel kupora ardhi hiyo hiyo ndogo waliobakiziwa wapalestina. Nimeshasema 40% ya West Bank inakaliwa na wayahudi laki 5 kinyume na sheria. Hao wanaitwa settlers, sasa hiyo sio sawa kila mtu abaki kwake sio kuja kupora kidogo kilichobaki.

Ndio huko sasa wanaporwa ardhi kila mwaka, kagoogle "walowezi wa kiyahudi" ndio utaelewa mzizi wa mgogoro. Huko unaposema waridhike na kidogo nacho wameporwa sasa sijui unataka waishi wapi
Ngoja waendelee kutandikana maana leo ndio ilikuwa mwisho wa cease fire. Ngoja tuone nini kitafuata baada ya cease fire kuisha.
Mi nafurahi sana kuona wanaume wako kazini, mtiti kwa mtiti non stop.
 
Mlango uchwara umeishia wapi ndugu paroko?
Hahahahaha. sasa hivi Hamas wanaongelea ushindi mkubwa sana:

Israel hawaondoki na Hamas watakuwa wanaleta fuju wana sababisha mauti kwa wengine miaka yote iwayo.
Ataibuka Hitler mwingine tu and when that time comes mtajuta maana hakuna atakayeweza mtetea.
HAMAS ni tatizo na wanatakiwa kumalizwa ili kumaliza mgogoro uliopo. M
Tatizo gani, mbona Westbank haipo chini ya Hamas ila kila siku mnawatesa? Msijifichie kwenye kichaka cha Hamas kufanya ukatili.
Hawa Hmas waende Iran
Why waende Iran? Iran sio waarabu na pia madhehebu ya dini ni tofauti sasa wafuate nini huko? Why Israel wasiondoke maana ndio waliwakuta wenzao wametangulia
 
Hahahahaha. sasa hivi Hamas wanaongelea ushindi mkubwa sana:

Amen.
 
Mi nafurahi sana kuona wanaume wako kazini, mtiti kwa mtiti non stop.
Unaona raha watoto kuuwawa? Duh biblia inakataza kuua na adhabu yake ni jehannum cha ajabu wakristo humu mnashabikia mauaji eti ndio unabarikiwa kisa anayeua ni Israel as if kuna mtu yupo juu ya Mungu. Ni ajabu sana
Ngoja tuone nini kitafuata baada ya cease fire kuisha.
Same business kulipua mahospitali na kuua watoto ndio wanachoweza
 
Aliyeleta mada haelewi kuwa kuna milango zaidi ya 1,300 ya kuingilia na kutokea kwenye mahandaki:

Blind world
Screenshot_2023-11-30-08-30-31-10_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
 
Unaona raha watoto kuuwawa? Duh biblia inakataza kuua na adhabu yake ni jehannum cha ajabu wakristo humu mnashabikia mauaji eti ndio unabarikiwa kisa anayeua ni Israel as if kuna mtu yupo juu ya Mungu. Ni ajabu sana

Same business kulipua mahospitali na kuua watoto ndio wanachoweza
Mi ninachofahamu HAMAS ni sawa na CCM au ACT, ni chama cha siasa, ingawa siasa zao ni ngumu kama hizi za kufanya ugaidi na kushangilia Allah akhbar. Huwezi watenganisha HAMAS na Wanawake,vijana na watoto. Kama ilivyo huku, tuna chipukizi CCM, tunao UWT na jumuiya zingine HAMAS nao vile vile.

Zile nchi ziko vitani ni ngumu kuchambua huyu hamas mkubwa huyu mdogo tumuache, au huyu Hamas mwanamke. Kama ni HAMAS wacha walipuliwe tu tatizo liko wapi? Umesema mwenyewe vita inaleta visasi hata kila baada ya miaka kumi wale uliowaita watoto wanakuwa watu wazima nao wanaanza zama zao ugaidi. Sasa lipi bora kuwauwa leo au kusubiria wakue?

Mimi natamani kuona wanakuwa wananchi wema, lakini ikiwa waki balehe tu wanawaza kuuwa wenzao sioni sababu ya kuwaacha hivi sasa.

Hatutaki vita ama waache ugaidi au waachwe watwangane tupate mshindi wa vita.
 
Ataibuka Hitler mwingine tu and when that time comes mtajuta maana hakuna atakayeweza mtetea.

Tatizo gani, mbona Westbank haipo chini ya Hamas ila kila siku mnawatesa? Msijifichie kwenye kichaka cha Hamas kufanya ukatili.

Why waende Iran? Iran sio waarabu na pia madhehebu ya dini ni tofauti sasa wafuate nini huko? Why Israel wasiondoke maana ndio waliwakuta wenzao wametangulia
Wewe na Hamas hamna tofauti, yani wewe huwezi kusema wakae pamoja kwa amani, unataka Israel waondoke tu. Na kwakuwa hawaondoki basi waachwe wapigane mshindi achukuwe chote.

Hitler aje tu, mimi haitanisaidia wal kunipunguzia chochote, watapigana na mwisho atapatikana mshindi.
Tofauti ya madhehebu sio tija waende tu ni waislamu wote, wajukuu wa mtume.
 
Back
Top Bottom