Hamas ni tatizo la Wapalestina, wao wanaona Mahamd Abbas na PLO kashindwa ku deliver wakaona msaada wataupata kwa HAMAS. Hamas naye ana deliver kweli na hapo ndilo tatizo linapoanzia. Hamas wapo kila sehemu Palestina.Acha ushabiki kule westbank hakuna Hamas ila mbona kila siku walowezi wanaiba ardhi. Yaani mnajifichia kwenye kichaka cha Hamas utadhani maeneo ambayo Hamas haina control ndio kuna amani?
Sasa kikundi kimoja kinahusika vipi na wapalestina wote? Wamekufa watoto 5000 unadhani hao ni Hamas? Huwezi kuuwa kila mtu Nigeria kisa Boko Haram imevamia Cameroon.
Ndio hivyo tutaendelea kupigania haki ya wanaoonewa kma mnavyowapigania Ukraine. Mahaba ya kidini yamekujaa kichwani jifunze kwa Askofu Gwajima na Pastor Mgogo wamegoma kuunga mkono hao walowezi. Unataka kusema unajua dini sana kuliko Gwajima au Mgogo?
Ingawa wanashindwa chaguzi baadhi ya maeneo lakini wapo kila sehemu. Huwezi kusema wapo Gaza pekee na Westbank hawapo.
Haki mnayoitaka na Israel na wao huitafuta hiyo hiyo. Ama mkubali waishi pamoja bila shida ua muwaite walowezi na vita isiyo na kikomo iendelee.
Binafsi sina tatizo na vita maana nafahamu vita ndio mwanzo wa kupata amani ya kudumu. Na ndio maana nasisitiza waendelee kupigana mpaka tumpate mshindi wa kivita. Huu mgogoro hakuna diplomasia inayoweza kuutatua.
Wewe na wenye mawazo kama yako endeleeni kuchochea vita isiyo isha. Niliisha kwambia hakuan ardi isiyo na mwenyewe katika dunia hii. Kwasababu hilo taifa hawataki kushi kwa amani ni vyema wapigane mpaka tumpate mshindi, hilo ndilo litakuwa suluhisho pekee kwenye mgogoro huu, lakini siyo historia.