miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Hao anao wala ni wadudu?Ni kinyume na haki za wanyama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao anao wala ni wadudu?Ni kinyume na haki za wanyama
Nimewaza mpk vita ya tatu iishe ikulu ingekua imeharibika vby mno[emoji14] [emoji14]Unacheka nini, anawezaje kuvamia ikulu amani ikawepo duniani...???
Mkuu.....Tupavu zako..! Huyu siyo kicheche wa kawaida mpuuzi wewe..
We mwongokweli mwanaume wa Dar yaani kuua kicheche unaleta thread JF?? Wengine huku Mara Tunaua Mamba na viboko
Mkorofi sana, alinidindia aisei, alimshindwa mama kuku in minutes viranga wawili kwisha..! Siku moja nilishangaa vifaranga nane ndani ya muda mfupi kwisha ile mayowe ya kuku sikumkuta ata vifaranga nilichanganyikiwa..Hawa wadudu ni nyokolist,wakiishawahi laza banda la kuku 60 wa kienyeji home.
Anakamata shingo ananyonya damu,anaacha kuku akigalagala hapo,siku yake ilifika akakutana na mtu anayejulikana mwenye kuku zake,halafu ni mkali ukifanya mzaha anakupa kilema.
Huyu basi ni mdogo bado niamini, vinginevyo ingekuwa hasara zaidi.Mkorofi sana, alinidindia aisei, alimshindwa mama kuku in minutes viranga wawili kwisha..! Siku moja nilishangaa vifaranga nane ndani ya muda mfupi kwisha ile mayowe ya kuku sikumkuta ata vifaranga nilichanganyikiwa..
Ohhhpppsssss......[emoji45] [emoji45]Mkuu kweli unawatambua vyema, maana hapa home kweli migebuka imejaa kwa firiji, tunaletewa kutoka kigoma na dagaa wa kigoma wamejaa kweli.
Kabisa mkuuWaache wajifariji na suruali zao bila boksa!
halafu hili jamaa linajisifia kabisaNi kinyume na haki za wanyama
nilivyosoma na hii nmejikuta nacheka mwenyewe...ila kijana mzuri wa visanga siipatii picha hii kwe comedy ya tvKwahiyo yeye kuuwa watoto wa mama kuku na kumwachia majonzi ndiyo haki za wanyama eti..???mama kuku mwenyewe alikuwagrabed nikamwokoa[emoji276][emoji276][emoji276]
wanaume wa dar bwana, yaani kicheche tu ukahisi mkojo na kuleta uzi humu!! siku ukimuona kenge achana na kumuua si utahalisha na kuita waandishi wa habari!!!akatoa mlio kama simba, kidogo nijikojolee kujikaza kiume nikamuita mshikaji wangu njoo huku vita
mimi nikikukula wewe ni mdudu? kula na kuua ni vitu viwili tofauti.Hao anao wala ni wadudu?
We unaweza kunila wewe?mimi nikikukula wewe ni mdudu? kula na kuua ni vitu viwili tofauti.