Hatimaye jana uso kwa uso huyu Kicheche na cha moto kakipata

Hatimaye jana uso kwa uso huyu Kicheche na cha moto kakipata

Tupavu zako..! Huyu siyo kicheche wa kawaida mpuuzi wewe..
Mkuu.....
Mimi hata ukinitukana ni sawa tu, maana ulipo malizia kwa kuweka picha na jinsi ulivyo simulia huo mpambano ulivyo kua mkali.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Hahaaahaaaa..... [emoji23] [emoji23] [emoji23]
"Eti ukamrukia teke moja hadi akajikojolea"........[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Duhhh.......
Kweli Daslam kuna maajabu
 
Hawa wadudu ni nyokolist,wakiishawahi laza banda la kuku 60 wa kienyeji home.

Anakamata shingo ananyonya damu,anaacha kuku akigalagala hapo,siku yake ilifika akakutana na mtu anayejulikana mwenye kuku zake,halafu ni mkali ukifanya mzaha anakupa kilema.
Mkorofi sana, alinidindia aisei, alimshindwa mama kuku in minutes viranga wawili kwisha..! Siku moja nilishangaa vifaranga nane ndani ya muda mfupi kwisha ile mayowe ya kuku sikumkuta ata vifaranga nilichanganyikiwa..
 
Mkorofi sana, alinidindia aisei, alimshindwa mama kuku in minutes viranga wawili kwisha..! Siku moja nilishangaa vifaranga nane ndani ya muda mfupi kwisha ile mayowe ya kuku sikumkuta ata vifaranga nilichanganyikiwa..
Huyu basi ni mdogo bado niamini, vinginevyo ingekuwa hasara zaidi.
 
Mkuu kweli unawatambua vyema, maana hapa home kweli migebuka imejaa kwa firiji, tunaletewa kutoka kigoma na dagaa wa kigoma wamejaa kweli.
Ohhhpppsssss......[emoji45] [emoji45]
Kwahiyo unamaanisha kicheche ulie pambana naye "vita kali sana" alikua anafahamu kwamba mnamiliki jokofu...[emoji15] [emoji15]
Umefanya mdogowangu umebaki wazi...[emoji47] [emoji47] [emoji47]
 
Kwahiyo yeye kuuwa watoto wa mama kuku na kumwachia majonzi ndiyo haki za wanyama eti..???mama kuku mwenyewe alikuwagrabed nikamwokoa[emoji276][emoji276][emoji276]
nilivyosoma na hii nmejikuta nacheka mwenyewe...ila kijana mzuri wa visanga siipatii picha hii kwe comedy ya tv
 
Vicheche nuksi sana... Ila kuna yule mwingine anakamata anachinja hlf ananyonya damu tu , hali nyama hata kidogo... sijui anaitwaje
 
akatoa mlio kama simba, kidogo nijikojolee kujikaza kiume nikamuita mshikaji wangu njoo huku vita
wanaume wa dar bwana, yaani kicheche tu ukahisi mkojo na kuleta uzi humu!! siku ukimuona kenge achana na kumuua si utahalisha na kuita waandishi wa habari!!!
 
Back
Top Bottom