Kiongozi wa upinzani nchini Guinea-Bissau, Domingos Simoes Pereira, ameachiwa huru kutoka gerezani baada ya kukaa mahabusu kwa miezi kadhaa.
Alikuwa mmoja wa wanasiasa waandamizi waliokamatwa na jeshi baada ya kuchukua madaraka mwezi Novemba, kwa mapinduzi yaliyomwondoa madarakani Rais Umaro Sissoco Embalo, siku chache tu baada ya kufanyika kwa uchaguzi wa rais.
Utawala wa kijeshi (junta) ulidai kuwa uliingilia kati ili kuzuia umwagaji damu kati ya wafuasi wa wagombea pinzani, na ukatangaza kuwa ungeongoza nchi hiyo ya Afrika Magharibi kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Pereira alikuwa amezuiwa kushiriki kugombea katika uchaguzi huo.
Ingawa mapinduzi yalifanyika kabla ya matokeo rasmi ya uchaguzi kutangazwa, mgombea aliyemuunga mkono Pereira, Fernando Dias, pamoja na Embalo, wote walikuwa wametangaza ushindi.
Rais aliyeondolewa madarakani baadaye alikimbia nchi.
Guinea-Bissau imekuwa ikikumbwa na misukosuko ya kisiasa mara kwa mara tangu ilipopata uhuru kutoka Ureno mwaka 1974, na hadi sasa ni rais mmoja tu aliyewahi kumaliza muhula wake kamili madarakani.
Umasikini uliokithiri, uendeshaji dhaifu wa serikali na machafuko ya kisiasa pia vimeifanya nchi hiyo kuwa kitovu cha rushwa na biashara haramu ya dawa za kulevya.
============
Guinea-Bissau opposition leader Domingos Simoes Pereira was released from jail on Friday after spending months behind bars.
He was one of several senior politicians imprisoned by the military after it seized power in November, overthrowing President Umaro Sissoco Embalo just days after presidential elections.
The junta claimed it had acted to prevent bloodshed between supporters of rival candidates and announced it was taking control of the west African country for a period of one year.
Pereira had been barred from standing in the vote.
While the coup took place before official election results were released, both his preferred candidate, Fernando Dias, and Embalo had claimed victory.
The disposed president subsequently fled the country.
Pereira was accompanied to his home on the outskirts of the capital Bissau on Friday by security forces and the visiting Senegalese defence minister/
Guinea-Bissau has experienced repeated instability since gaining independence from Portugal in 1974, with only one president ever completing a full term in office.
Crippling poverty, chaotic administration and political chaos have also made the country a fertile ground for corruption and drug smuggling.
Source: African news