Hatimaye Kocha Nabi anaondoka Yanga, amemaliza mkataba na kupata dili kwingine

Mayele soon naye tutasikia kaenda kutafuta changamoto nyingine.


Inakuwaga hivi hivi kama utani utani lakini ndio anasepa.

Ni kama ule msimu wa Corona, watu walikuwa wanakufa hawasemi kuwa ni Cirona tunaambiwa ni changamoto ya upumuaji.
Nilikwambia kwenye uzi wangu ukaanza kunibishia. English simple kama ile mbona ilijieleza yenyewe tu.
 
Nimeanza kuona mpoteano tayari Kuna watu wakiamka na kuiona hii habari lazima wanywe pepthi kushusha presha.
 
Yaani misimu miwili mfululizo amewapelekea moto wapinzani wake! Halafu machale yamcheze msimu ambao kikosi kiko katika kilele chake cha mafanikio!!
Ukisema kilele means baada ya hapo sio kilele tena.
 
Sio bahati
Uwezo wake
Mtu aliechukua caf cc 2012 unasema bahati
Wakati wewe makocha wako wote waliokupitia hamna hata mmoja aliewahi kuchukua Hilo kombe??
Hakuchukua kama kocha usifanye hatujui. Alikuwa ni kiongozi mwandamizi lakini sio kocha Mkuu
 
Mwanamke akitaka kuondoa,mwache aende huwezi lazimisha ndoa ,
Huwezi lazimisha kocha kubaki naye ana malengokama mlivyo nyie,kila la kheri kwake
 
Mayele soon naye tutasikia kaenda kutafuta changamoto nyingine.


Inakuwaga hivi hivi kama utani utani lakini ndio anasepa.

Ni kama ule msimu wa Corona, watu walikuwa wanakufa hawasemi kuwa ni Cirona tunaambiwa ni changamoto ya upumuaji.
Cha ajabu Nini?katika soka hayo ya kawaida! Hata Benzena kaondoka Real Madrid!! Au kina Inonga na Chama watakaa Bunju milele?
 
Poa tu. Tunamshukuru Kwa yote. Kila la kheri kocha Nabi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…