Hatimaye Kocha Nabi anaondoka Yanga, amemaliza mkataba na kupata dili kwingine

Kwa jirani nyumba imeanza kuungua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiwe na wasi wasi. Kule Yanga wanaongozwa na Injinia! Ufumbuzi uko kwenye hatua za mwisho mwisho kwenye drawing board

 
mie namshukuru na kumtakua kila la kheri
 
Dalili za kurudi kwa kina Minziro na Mkwasa hizi. Halafu taarifa waliyotoa kama siyo sahihi, Nabi alikuwa na kandarasi hadi 2024 ila kavunja mkataba. Nadhani wamejifunza kwa Feisal, mtu akitaka kuondoka mwache aende.
Nabi alipaswa kuondoka, hawezi kuipa Yanga mafanikio makubwa zaidi ya haya ya mwaka huu. Yanga ina kikosi kizuri, kikubwa watafute kocha mwingine mzuri tena anacheza soka la kasi haswa. Nabi ni mzuri kiasi chake ila uzuri wa kikosi ndio uliombeba zaidi.

Mayele pia huu ndio muda wa kufanya biashara kama anataka kupiga mpunga. Katika historia yake ya soka anaweza asiwe tena na msimu bora kama huu, so akipata club nzuri zaidi aende.

Mpira ni biashara siyo mapenzi.
 
Naomba jina la kituo chako cha kazi madam nilete mtoto hapo.
 
Nami siachi kuwaambia tuimbe wimbo wetu wa MUNGU ASANTE! Wanaimbajeeee[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio bahati
Uwezo wake
Mtu aliechukua caf cc 2012 unasema bahati
Wakati wewe makocha wako wote waliokupitia hamna hata mmoja aliewahi kuchukua Hilo kombe??
Nabi hajawahi kuchukua hilo kombe akiwa kocha, nenda kaangalie kumbukumbu zako vizuri
 
Mwalimu unalia!!! mbele ya wanafunzi Mpwayungu Village anasemaje
 
Ngumi za kushitukiza jamaa kaogopa mwamba akinyanyuka ataona cha mtema kuni kaamua kukimbia mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…