NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Banaaa weweee π π πKwani huo mpira ni lini
Endelea kujitoa ufahamukumbe wanachezea Fainali kwa mkapa? sasa mama samia alitoa ndege kupeleka mashabiki wapi? sijaelewa
Ulishachezwa siku ile kwani umesahau kuwa tulitoka mbili moja Baada ya prince dube kufunga mjadala.Kwani huo mpira ni lini
kivip wengine sio washabiki sana wa Mpira tunayasikia tu kwenye vyombo vya habariEndelea kujitoa ufahamu
Na utabadili sana majina mwaka huuuUSM ALGER 2
UTO 0
Nikajua unachezwa huko nje ya nchikivip wengine sio washabiki sana wa Mpira tunayasikia tu kwenye nyimbo vya habari
Hivi kwa Nini umejiita kipwintookivip wengine sio washabiki sana wa Mpira tunayasikia tu kwenye nyimbo vya habari
Kama mnasuburi ndooo ya CAF poleni labda mpate kisado...banaaa weweee π π π
mwaka kesho zamu yenu.. hivi mwaka huu mmetoka na ndoo gani vile...
C.c Bantu Lady
Antonnia
Unawaza kisado Cha sabuni za mo dewj tu.Kama mnasuburi ndooo ya CAF poleni labda mpate kisado...
hahaha jina tu, kama ID nyingine zisizo na maanaHivi kwa Nini umejiita kipwintoo
Mjibu bhna anataka kujuaHivi kwa Nini umejiita kipwintoo