NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Timu ya Yanga SC kupitia kurasa zake rasmi za mitandao ya kijamii imetangaza kuuza tiketi zote za mchezo wa fainali ya #CAFCC ikiwa imesalia siku moja tu kabla ya mchezo huo dhidi ya USM Alger.
Uwanja wa Benjamin Mkapa una uwezo wa kubeba idadi ya watu 60,000 kwa wakati mmoja kwa mantiki hiyo Young Africans wameuza tiketi elfu sitini kwaajili ya mchezo huo.
Kila la heri wananchi "why not us!??"