Hatimaye kwa Mkapa kumejaa, naliona vibe la mashabiki wa wydad Casablanca na Rajacasablanca ndani ya Mkapa stadium

Hatimaye kwa Mkapa kumejaa, naliona vibe la mashabiki wa wydad Casablanca na Rajacasablanca ndani ya Mkapa stadium

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Timu ya Yanga SC kupitia kurasa zake rasmi za mitandao ya kijamii imetangaza kuuza tiketi zote za mchezo wa fainali ya #CAFCC ikiwa imesalia siku moja tu kabla ya mchezo huo dhidi ya USM Alger.

Uwanja wa Benjamin Mkapa una uwezo wa kubeba idadi ya watu 60,000 kwa wakati mmoja kwa mantiki hiyo Young Africans wameuza tiketi elfu sitini kwaajili ya mchezo huo.

Kila la heri wananchi "why not us!??"

1685187236570.jpg
 
"Uwanja wa Benjamin Mkapa unauwezo wa kubeba idadi ya watu 60,000 kwa wakati mmoja kwa mantiki hiyo Young Africans wameuza tiketi elfu sitini kwaajili ya mchezo huo"

Ina maana mashabiki wa wapinzani wa Yanga,wao hawakupewa hata nafasi ya tiketi moja? Nauliza kwa mujibu wa hiyo paragraph hapo juu.
 
Back
Top Bottom