Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Wasome jamaa katika post no. #145 & #148 ktk mjadala huu utapata elimu ili siku nyingine ushanaikeElizabet kakubaliwa nanani akaemilele pale alipo ?!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasome jamaa katika post no. #145 & #148 ktk mjadala huu utapata elimu ili siku nyingine ushanaikeElizabet kakubaliwa nanani akaemilele pale alipo ?!.
Hakuna swali ambalo halikujibiwa katika yale maswali yote ya awali.Hujataka kunijibu swali langu ?!
Sijawah kuhangaika hakuna jibu walilonipa naona wanahangaika tu kama weweWasome jamaa katika post no. #145 & #148 ktk mjadala huu utapata elimu ili siku nyingine ushanaike
Malkia Elizabeth hachaguliwi tena, alikwisha kuchaguliwa miaka mingi iliyopita.Mmegoma kujibu malkia anachaguliwa nanani ?!...
Kama huduma zote za kijamii unapata bure ama nafuu. Unafanya shughuli zako vizuri tu, ukiwa na matatizo unasaidiwa. Sasa yeye akikaa madarakani miaka ata 200 tatizo liko wapi? Wewe unataka kiongozi mwenye kujali wananchi na kuleta maendeleo au unataka uwe unabadilisha viongozi ndio fahari yako?Inauma lakini tatizo kubwa la viongozi wa ki Africa na hata za ki Arab ni kung'ang'ania madarakani kwa njia moja ama nyingine.
Huwezi kuwatawala watu wenye akili na ufahamu kwa zaidi ya miaka 42 na bado ukataka mwanao akurithi !!. Watakufanyia fitna tu.
Mr Utamu nchi yako hii kabla haijawa taifa Uingereza ilishakuwa dola tena iliyoitawala karibu 1/2 ya dunia. Mataifa mengi likiwemo hili letu lime copy katiba huko namna ya kutawala na kuongoza watu. So malkia kuepo pale ni makubaliano yao kama nembo ya taifa lakini hana mamlaka ya kutawala .Sijawah kuhangaika hakuna jibu walilonipa naona wanahangaika tu kama wewe
Malkia alipigiwa kura mwaka gani ?!
Malkia Elizabeth hachaguliwi tena, alikwisha kuchaguliwa miaka mingi iliyopita.
Usiwe mvivu wa kusoma. Tafuta maarifa!
Hahahaha naona unawakaba mpaka wanapanic, hawapendi ukweli hawaSijawah kuhangaika hakuna jibu walilonipa naona wanahangaika tu kama wewe
Malkia alipigiwa kura mwaka gani ?!
Unavyomzungumzia huyo Malkia ni kama mtu wa kawaida hana uzito wala nguvu zozote zile.Mr Utamu nchi yako hii kabla haijawa taifa Uingereza ilishakuwa dola tena iliyoitawala karibu 1/2 ya dunia. Mataifa mengi likiwemo hili letu lime copy katiba huko namna ya kutawala na kuongoza watu. So malkia kuepo pale ni makubaliano yao kama nembo ya taifa lakini hana mamlaka ya kutawala .
Panicking hapa si mahali pake ndugu. I'm cool as a cucumber!Usipanic, jibu maswali uliyoulizwa.
Safi kabisa walimchagua kula mema ya nchi hadi kufa kwake hali ya kuwa kuna wananchi wanapigika ila wameridhia malkia ndio ale mema ya nchi.Malkia Elizabeth hachaguliwi tena, alikwisha kuchaguliwa miaka mingi iliyopita.
Usiwe mvivu wa kusoma. Tafuta maarifa!
Mimi sina shida kuhusu suala la kula mema ya nchi. Ni mfumo gani wa utawala usiotoa favours ama upendeleo fulani kwa viongozi?Safi kabisa walimchagua kula mema ya nchi hadi kufa kwake hali ya kuwa kuna wananchi wanapigika ila wameridhia malkia ndio ale mema ya nchi.
Alichaguliwannanani MKUU ?!Malkia Elizabeth hachaguliwi tena, alikwisha kuchaguliwa miaka mingi iliyopita.
Usiwe mvivu wa kusoma. Tafuta maarifa!
Yote haya naayajua kama ni ceremonial leader unahisi yeye pekee ndio anasifa zote zakua hapo alipo zaidi ya miaka 40 kuliko raia wote wa UK zaidi ya 50M ?!Mr Utamu nchi yako hii kabla haijawa taifa Uingereza ilishakuwa dola tena iliyoitawala karibu 1/2 ya dunia. Mataifa mengi likiwemo hili letu lime copy katiba huko namna ya kutawala na kuongoza watu. So malkia kuepo pale ni makubaliano yao kama nembo ya taifa lakini hana mamlaka ya kutawala .