Hatimaye Libya yawa shamba la Bibi, officially

Hatimaye Libya yawa shamba la Bibi, officially

Hujataka kunijibu swali langu ?!
Hakuna swali ambalo halikujibiwa katika yale maswali yote ya awali.

Mpaka sasa mimi ndiye ambaye swali langu halijajibiwa. Hili hapa, what is a dictator? Who is a dictator?

Nahitaji majibu yenye uthibitisho na si porojo wala kuunga unga maneno.
 
Inauma lakini tatizo kubwa la viongozi wa ki Africa na hata za ki Arab ni kung'ang'ania madarakani kwa njia moja ama nyingine.

Huwezi kuwatawala watu wenye akili na ufahamu kwa zaidi ya miaka 42 na bado ukataka mwanao akurithi !!. Watakufanyia fitna tu.
Kama huduma zote za kijamii unapata bure ama nafuu. Unafanya shughuli zako vizuri tu, ukiwa na matatizo unasaidiwa. Sasa yeye akikaa madarakani miaka ata 200 tatizo liko wapi? Wewe unataka kiongozi mwenye kujali wananchi na kuleta maendeleo au unataka uwe unabadilisha viongozi ndio fahari yako?

Sasa hao unaona wenye akili na ufahamu zaidi, wamefanya nini saivi libya? Yaani wewe unaona mtu ambae amevuruga kila kitu ndio mwenye akili?

Basi muwe munafikiri kabla ya kupost.
 
Sijawah kuhangaika hakuna jibu walilonipa naona wanahangaika tu kama wewe

Malkia alipigiwa kura mwaka gani ?!
Mr Utamu nchi yako hii kabla haijawa taifa Uingereza ilishakuwa dola tena iliyoitawala karibu 1/2 ya dunia. Mataifa mengi likiwemo hili letu lime copy katiba huko namna ya kutawala na kuongoza watu. So malkia kuepo pale ni makubaliano yao kama nembo ya taifa lakini hana mamlaka ya kutawala .
 
Yani Mimi hawa walibya hata nikisikia wamepatwa na kitugani huwa siwaonei huruma

Acha tu waendelee kuteseka ndio maisha waliyo yachagua
 
Binadamu hatuna Shukrani wala haturidhiki, Tenda mema 99 watu watasahau lakin baya 1 tu watu watalivalia Njuga. Ndio haya yaliomkuta Marehem Gaddafi Maskin. HAKIKA WALIBYA WALIISHI KWA RAHA SANA ENZI ZA UTAWALA WAKE.
 
Libya haijawahi kuwa mfano kwa nchi za Africa,ni propoganda za pesa za mafuta na ufinyu wa taarifa tu ndizo ziliupaisha udikteta wa Gaddafi ukaonekana hivyo.
 
Mr Utamu nchi yako hii kabla haijawa taifa Uingereza ilishakuwa dola tena iliyoitawala karibu 1/2 ya dunia. Mataifa mengi likiwemo hili letu lime copy katiba huko namna ya kutawala na kuongoza watu. So malkia kuepo pale ni makubaliano yao kama nembo ya taifa lakini hana mamlaka ya kutawala .
Unavyomzungumzia huyo Malkia ni kama mtu wa kawaida hana uzito wala nguvu zozote zile.
 
Usipanic, jibu maswali uliyoulizwa.
Panicking hapa si mahali pake ndugu. I'm cool as a cucumber!

Hakuna swali ambalo halikujibiwa hapo.

Mmehifadhi majibu yenu mfukoni ambayo mlitegemea kuyasikia kutoka kwangu na kwa sababu nimeya-prove wrong majibu hayo mmebaki kusema kwamba sijajibu maswali.

Maswali yamekwisha jibiwa, msiwe wavivu wa kusoma.
 
Malkia Elizabeth hachaguliwi tena, alikwisha kuchaguliwa miaka mingi iliyopita.

Usiwe mvivu wa kusoma. Tafuta maarifa!
Safi kabisa walimchagua kula mema ya nchi hadi kufa kwake hali ya kuwa kuna wananchi wanapigika ila wameridhia malkia ndio ale mema ya nchi.
 
Safi kabisa walimchagua kula mema ya nchi hadi kufa kwake hali ya kuwa kuna wananchi wanapigika ila wameridhia malkia ndio ale mema ya nchi.
Mimi sina shida kuhusu suala la kula mema ya nchi. Ni mfumo gani wa utawala usiotoa favours ama upendeleo fulani kwa viongozi?
 
Kama udikteta ni maendeleo, basi uganda ni NEWYORK CITY.
 
Mr Utamu nchi yako hii kabla haijawa taifa Uingereza ilishakuwa dola tena iliyoitawala karibu 1/2 ya dunia. Mataifa mengi likiwemo hili letu lime copy katiba huko namna ya kutawala na kuongoza watu. So malkia kuepo pale ni makubaliano yao kama nembo ya taifa lakini hana mamlaka ya kutawala .
Yote haya naayajua kama ni ceremonial leader unahisi yeye pekee ndio anasifa zote zakua hapo alipo zaidi ya miaka 40 kuliko raia wote wa UK zaidi ya 50M ?!

Twende tararibu MKUU nahisi tunaweza kuelewana maana unaonyesha unataka tueleweshane nakuelewana...
 
Back
Top Bottom