Hatimaye Lionel Messi athibitisha kwamba yeye ndio mchezaji bora wa dunia

Alete copa america APA kama cr7 alivyotuonyesha kutwaa euro

Nani kakuambia ronaldo katwaa euro??? Kwani wakati inacheza final yeye na yeye alikuwemo??? Kwanini unaamua kudanganya watu wakati mechi yenyewe tumeiona.....sema hivi "kapewa uchezaji bora kwa sababu timu yake imetwaa ubingwa" lakini sio kwamba eti yeye amecheza.
 
Hivi Dunia hii bado kuna mtu anadhani Messi ana mpinzani ???
Ndiyo..Messi anawapinzani wengi..

Hasa Cr7 na wengine ambayo bado hatujawajua wakijisema ila hata Neyma ashakuwa mpinzani maana anastruggle kufanya makubwa iliapatw tuzo kubwa dunian kama ballon n.k

Pia hawa wapinzani wa Messi ndiyo wanaomfanya Messi azidi kupambana kwa kufanya makubwa zaidi ili wasimkute..Thats why utaona anakuwa na spirity ya kufunga au kuisaidia timu yake ifanye vizuri...
 
Ukizungumzia pesa ronado na mesi ni mbingu na dunia hata nusu mesi hafiki. Kama mafanikio tu ya club wangempa basi hata benzema nae si yupo Madrid. Unatuletea takwimu za vijalida uchwara APA cr ni hatari anachukua kila atakacho
Kwenye suala la pesa ndiyo Messi is higher than Cr7 lkn kwa msimu ulikwisha CR7 amedeserve kubeba vyote alivyobeba...Jibu rahisi ameisaidia Madrid kuchukua ndoo zote plus kuweka records mbali mbali
 
Kwenye suala la pesa ndiyo Messi is higher than Cr7 lkn kwa msimu ulikwisha CR7 amedeserve kubeba vyote alivyobeba...Jibu rahisi ameisaidia Madrid kuchukua ndoo zote plus kuweka records mbali mbali

Nimeipenda ID yako Mkuu. Kweli Messi sio wa sayari hii.
 
Kwan waliompa CR kwamba ndo bora ni nani, hizi sifa za mitandaon zinachosha, kama Messi anastahili atapewa tu maadam jitihada zinaonekana, hakuna haja ya kutaka maon ya wanamtandao
 
Ishu ya Maradona na Pelle

Tuwe honest wadau, sawa najua kuna wengi humu wamezaliwa kitambo yawezekana kipindi cha miaka ya 70 au 80 walikuwa na miaka mingi tu au watu wazima..

Lkn wengi debate ya Pellw na Maradona ni kubwa na ukizingatia hatujawaona hawa watu wakicheza zaidi mtu ana google clips zao...Wachache wamewaona maana hata teknolojia ya video ilikuwa kwa wachache...

Japo unaeza kujudge via clips za Google
 
Kama hajaelewa huyo basi tena!
 
Msimfananishe Messi na vitu vya kijinga kijinga
Unakosea bro..

MESSI NI FUNDI HAKUNA ANAYEBISHA

CR7 NI FUNDI HAKUNA ANAYEBISHA OTHERWISE KAMA UNAANGALIA MPIRA LIVESCORE..

SEMA KUNA MSIMU MMOJA ANAKUWA THREATE ZAID YA MWINGINE AU HUYO HUYO KAMA MISIMU KADHAA MFULULIZO ANAKUWA THREATE NDIYO MAANA UNAONA WANABEBA TUZO KUBWA NA KUWEKA RECORDS PIA KUVUNJA RECORDS...
 
Uwe kidogo unafuatilia soka co wachezaji tu... Unapoitaja Real Madrid hao ni European king hakuna wa kufananishwa nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…