mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,162
- 3,088
Ukweli mtupu .Huyu kijana tokea kipindi kila akikutana na sisi na kina babu wenger anajipigia tuuu, nilikuwa namchukia namuombea mpaka majeruhi ila nasikitika kuwa uwezo wake umezidi kiwango cha chuki zangu, nimenyoosha mikono. Kuna skills nikizimiss huwa baenda kumchungulia youtube, huyu na gaucho ni kati ya viumbe vinavyonitia hasara sana za mb.
Hakuna wa kumsogelea messi hata gaucho ni mchumba tu
Messi10 mchezaji bora wa muda wote.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kombe la dunia lileOlyimpik ndio kombe gani ushanza kuleta mabonanza APA . atuletee hata copa america kama cr7 alivotuletea uero
Hiyo nimefatilia ni kweli kabisaFIFA na Ulaya wana pendelea wachezaji wa bara ulaya huyo cr 7 hana kitu mbele Messi lkn kila kukicha huyo huyo
kama hcho kwako ndio kipimo stahiki basi tufanye anelka ndio mchezaji bora wadunia kiwahi kutokea ..maana ndiye mwenye kuongoza kuhama hama...Mbona mnatumia nguvu nyingi sana kuonyesha mess bora. MTU toka azaliwe club anayoijua ni bacerona tu akitoka apo baca atakua sawa na frimpong tu yule wa arsenal. Huku mfalme mwenyewe hata nikimleta yanga yeye atang'aa haitaji kumtaja jina
league ambayo mfungaji bora ni harry Kane league ambayo mchezaji bora haiingii hata kwenye kikosi bora cha FIFA ..yapata mcmu wa6 huu ..league ambayo kuvuka robo tu ya mashindanayo ya uefa kwenu imekuwa simulizi ...aiseee hold my beer pls...ndio wataka league hiyo aje kucheza mchezaji bora wakiwango cha messi ..yaani umtoe makonda dar kisha umpeleke. morogoro huko akagombee udiwani wa mvomero aiseee ..uko timamu kweli weweUtajipimeje mchezaji bora kwa kuogopa changamoto . Atoke uko aende EPL uko mbeleko hakuna ataishia kuokota mipira. Hakuna kama cr hata tukimpanga na wewe atachukua tu uefa
safiii yaani Anataka atoke barca then aende kucheza liver .arsenal .man u au Chelsea ..team ambazo kushiriki tu mashindano ya uefa now deys kwaupnde wao imekuwa ni ndoto ..Hivi Hugo messi atakuwa nimjinga wakiasi gani ..hata hao aliowapa kazi ya kummanage watakuwa hawana akili kiasi hcho kweliEpl akafanye nini huko!! Yani atoke timu kubwa alafu akajitupe epl.ndiomana nikakuambia timu kubwa na yenye hadhi kwake ni Barca na Real madrid kidogo. Hao wengine watamlipa nini huyu kiumbe,, wakati uwezo huo hawana na timu zenyewe hazina tofauti na za kwetu
messi hajulikani Argentina ila wewe uliyehuku Africa unamjua messi aiseee ...hahaa hii silaana hii...acha kuvuta bangi dogoNimesema cr7 mungu wa mpira we unasema Mungu. Hakuna kama cr7 kabakiza kombe LA dunia tu mess hata Argentina hawamjui
una akili sana ..agiza soda unywe naja kulipaVikombe ni matokeo ya timu nzima kwa kuwa na timu work ya wachezaji wote. Tatizo watu huwa wanachanganya kati ya "individual performance" na "team performance".
Ukiangalia uwezo wa Messi10 (individual performance) uko juu muno, labda uwe mbishi tu wa kuzaliwa.
Hapa tunaongelea uwezo binafisi wa mchezaji na siyo collective performance ya team nzima kama jinsi ambavyo wengi wenu mnakuja na hoja za sijui Fulani kashinda Euro, UCL, n.k...
sasa mtu kama huyu unamsaidia vipi maana hata ubongo wake unaonyesha wazi kuwa umestack..yaani kweli haya maneno yanatoka kinywani mwako ..aisee twaweza hawa ktu danganya kwakweliBora ungeweka matumain kwa Sarah wa livapul na misri yake kuliko huyo mess
kama hcho kwako ndio kipimo stahiki basi tufanye anelka ndio mchezaji bora wadunia kiwahi kutokea ..maana ndiye mwenye kuongoza kuhama hama...
jinga kabisaa mnalazimishaga shuka na blanket kuwa sawa..ilhali mnajua kuwa vina uzito na thamani ya tofauti
sasa mtu kama huyu unamsaidia vipi maana hata ubongo wake unaonyesha wazi kuwa umestack..yaani kweli haya maneno yanatoka kinywani mwako ..aisee twaweza hawa ktu danganya kwakweli
Kwani hiyo tuzo huwa analinganishwa peke yake? Si huwa kuna wachezaji kadhaa wanaingizwa kwenye draw kisha kura zinapigwa? Sasa hiyo clip anaonekana yeye peke yake kinyume hata cha kanuni za kutoa tuzo ya mchezaji bora.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sasa mtu kama huyu unamsaidia vipi maana hata ubongo wake unaonyesha wazi kuwa umestack..yaani kweli haya maneno yanatoka kinywani mwako ..aisee twaweza hawa ktu danganya kwakweli