Hatimaye Lionel Messi athibitisha kwamba yeye ndio mchezaji bora wa dunia

Kama amethibitisha yeye kuwa ndo mchezaji Bora sishangai lakini RONALDO ndo king of football under the sun since world creation
 
Akajaribu maisha hata Belgium kama epl,bundasiliga na seria a anaogopa......
 
Akajaribu maisha hata Belgium kama epl,bundasiliga na seria a anaogopa......

Watanzania bwana! Nani kakuambia anaogopa? Yani atoke Barca aende mchangani!! Huu utakuwa uendawazimu sasa..

Tim kubwa za epl kishazibandua, sasa mnataka nini tena!!
Ars 9
Man city 6
Chelsea 3
Man u 2
Spurs 2
 
Alafu utasikia ronaldo kaipa ureno uero wakati alikuwa nje baada ya kuumia. Ukiongelea chochote kuhusu messi watakwambia ooh, mbona argentina hawajachukua world cup!! Hawa watu hawaa.
 
Alafu utasikia ronaldo kaipa ureno uero wakati alikuwa nje baada ya kuumia. Ukiongelea chochote kuhusu messi watakwambia ooh, mbona argentina hawajachukua world cup!! Hawa watu hawaa.

Hahaa Mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe kiongozi,yani hawa tumeshawazoea kitambo, ni watu wenye chuki mbaya mnoo. Wanajuwa moyoni kuwa Messi ndiye baba la wachezaji wote waliopita na wa sasa pia ila ni wakaidi na kujitoa ufahamu. Atakuja mwingine kumfananisha na Pele, zidane mara sijui gaucho, yani ni kumvunjia heshima Messi kumcompare na vitu vya kijinga eti kisa world cup.
 
Messi Ni Mchezaji Wa Kawaida Sana!! Kama Yeye Ni Bora Atoke Hapo Alipo Aende Ata Girona Alafu Tuone Ubora Wake Laki Cr7 Ata Umlete Mtibwa Sugar Lazma Watu Wapigwe Tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…