Hatimaye Lionel Messi athibitisha kwamba yeye ndio mchezaji bora wa dunia

Hatimaye Lionel Messi athibitisha kwamba yeye ndio mchezaji bora wa dunia

Tangu muda mrefu pamekua na hali ya mfananisho wa nani zaidi kati ya Lionel Messi na wachezaji wengine hasa Christian Ronaldo wa real Madrid. Na clip hii imeweza kutatua mjadala wa mda mrefu na naamini itafunga mabishano yasiyo na maana.

[emoji116] [emoji116]



Update
Wachezaji wenye thamani zaidi duniani watajwa. Ambapo Neymar akichukua nafasi ya 1 akifatiwa na Lionel Messi anayechukua nafasi ya 2.Wakati mchezaji wa real Madrid Christian Ronaldo akichukua nafasi ya 49.
Wachezaji wa thamani ya juu zaidi duniani watajwa

Sababu ya Ronaldo kushika namba 49 kwa thamani duniani | Azam | Michezo | Swahili
Kama amethibitisha yeye kuwa ndo mchezaji Bora sishangai lakini RONALDO ndo king of football under the sun since world creation
 
Akajaribu maisha hata Belgium kama epl,bundasiliga na seria a anaogopa......
 
Akajaribu maisha hata Belgium kama epl,bundasiliga na seria a anaogopa......

Watanzania bwana! Nani kakuambia anaogopa? Yani atoke Barca aende mchangani!! Huu utakuwa uendawazimu sasa..

Tim kubwa za epl kishazibandua, sasa mnataka nini tena!!
Ars 9
Man city 6
Chelsea 3
Man u 2
Spurs 2
 
Vikombe ni matokeo ya timu nzima kwa kuwa na timu work ya wachezaji wote. Tatizo watu huwa wanachanganya kati ya "individual performance" na "team performance".

Ukiangalia uwezo wa Messi10 (individual performance) uko juu muno, labda uwe mbishi tu wa kuzaliwa.

Hapa tunaongelea uwezo binafisi wa mchezaji na siyo collective performance ya team nzima kama jinsi ambavyo wengi wenu mnakuja na hoja za sijui Fulani kashinda Euro, UCL, n.k...
Alafu utasikia ronaldo kaipa ureno uero wakati alikuwa nje baada ya kuumia. Ukiongelea chochote kuhusu messi watakwambia ooh, mbona argentina hawajachukua world cup!! Hawa watu hawaa.
 
Alafu utasikia ronaldo kaipa ureno uero wakati alikuwa nje baada ya kuumia. Ukiongelea chochote kuhusu messi watakwambia ooh, mbona argentina hawajachukua world cup!! Hawa watu hawaa.

Hahaa Mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe kiongozi,yani hawa tumeshawazoea kitambo, ni watu wenye chuki mbaya mnoo. Wanajuwa moyoni kuwa Messi ndiye baba la wachezaji wote waliopita na wa sasa pia ila ni wakaidi na kujitoa ufahamu. Atakuja mwingine kumfananisha na Pele, zidane mara sijui gaucho, yani ni kumvunjia heshima Messi kumcompare na vitu vya kijinga eti kisa world cup.
 
Messi Ni Mchezaji Wa Kawaida Sana!! Kama Yeye Ni Bora Atoke Hapo Alipo Aende Ata Girona Alafu Tuone Ubora Wake Laki Cr7 Ata Umlete Mtibwa Sugar Lazma Watu Wapigwe Tu
 
Back
Top Bottom