Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Alikuwa na backup ya baadhi ya wachezaji,saiz Barcelona unaionaje?Messi ndiye injini ya barca,,,bila yeye barca si chochote. Huo ndiyo ukweli!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa na backup ya baadhi ya wachezaji,saiz Barcelona unaionaje?Messi ndiye injini ya barca,,,bila yeye barca si chochote. Huo ndiyo ukweli!
Alikuwa na backup ya baadhi ya wachezaji,saiz Barcelona unaionaje?
Siyo kocha wachezaji wamechokaIpo vizuri sana Messi akiwemo uwanjani, tatizo lipo kwa kocha.
Kama amethibitisha yeye kuwa ndo mchezaji Bora sishangai lakini RONALDO ndo king of football under the sun since world creationTangu muda mrefu pamekua na hali ya mfananisho wa nani zaidi kati ya Lionel Messi na wachezaji wengine hasa Christian Ronaldo wa real Madrid. Na clip hii imeweza kutatua mjadala wa mda mrefu na naamini itafunga mabishano yasiyo na maana.
[emoji116] [emoji116]
Update
Wachezaji wenye thamani zaidi duniani watajwa. Ambapo Neymar akichukua nafasi ya 1 akifatiwa na Lionel Messi anayechukua nafasi ya 2.Wakati mchezaji wa real Madrid Christian Ronaldo akichukua nafasi ya 49.
Wachezaji wa thamani ya juu zaidi duniani watajwa
Sababu ya Ronaldo kushika namba 49 kwa thamani duniani | Azam | Michezo | Swahili
Cha ajab sasa akikutana tu epl anazibutua yaanEpl akafanye nini huko!! Yani atoke timu kubwa alafu akajitupe epl.ndiomana nikakuambia timu kubwa na yenye hadhi kwake ni Barca na Real madrid kidogo. Hao wengine watamlipa nini huyu kiumbe,, wakati uwezo huo hawana na timu zenyewe hazina tofauti na za kwetu
Cha ajab sasa akikutana tu epl anazibutua yaan
Kama amethibitisha yeye kuwa ndo mchezaji Bora sishangai lakini RONALDO ndo king of football under the sun since world creation
achana na lapuqa....hafai.
Kivipi?Hilo neno "KING" umejitungia mwenyewe tu.
Kivipi?
Akajaribu maisha hata Belgium kama epl,bundasiliga na seria a anaogopa......
Alafu utasikia ronaldo kaipa ureno uero wakati alikuwa nje baada ya kuumia. Ukiongelea chochote kuhusu messi watakwambia ooh, mbona argentina hawajachukua world cup!! Hawa watu hawaa.Vikombe ni matokeo ya timu nzima kwa kuwa na timu work ya wachezaji wote. Tatizo watu huwa wanachanganya kati ya "individual performance" na "team performance".
Ukiangalia uwezo wa Messi10 (individual performance) uko juu muno, labda uwe mbishi tu wa kuzaliwa.
Hapa tunaongelea uwezo binafisi wa mchezaji na siyo collective performance ya team nzima kama jinsi ambavyo wengi wenu mnakuja na hoja za sijui Fulani kashinda Euro, UCL, n.k...
Alafu utasikia ronaldo kaipa ureno uero wakati alikuwa nje baada ya kuumia. Ukiongelea chochote kuhusu messi watakwambia ooh, mbona argentina hawajachukua world cup!! Hawa watu hawaa.
Hakuna kitu Kama hichoKama amethibitisha yeye kuwa ndo mchezaji Bora sishangai lakini RONALDO ndo king of football under the sun since world creation
Acha unazi leta factHakuna kitu Kama hicho
Messi is a creature from another planet