Hatimaye Lionel Messi athibitisha kwamba yeye ndio mchezaji bora wa dunia

Kawao
Kawapiku kwa lipi babu mbona unapiga kelele tu na mahaba niue yako. Cr mfalme hajabakiza kitu chini ya jua sio EPL LA liga uefa uero na uchafu wote ambao mess itabaki simulizi kwake na kwenu
 
ilifikiri umeleta EPL aliyobeba mess kumbe unazungumzia chance
 
Tofautisha kuchukuwa vikombe kwenye klabu na uwezo binafisi. Ndiyo maana mwenye thread hii hajaorodhesha makombe/vikombe na vilabu ambavyo messi10 kacheza. Kakuwekea highlights kuonyesha uwezo wake binafisi.
Uwezo binafsi bila mafanikio ni maneno tupu apo
 
Utajipimeje mchezaji bora kwa kuogopa changamoto . Atoke uko aende EPL uko mbeleko hakuna ataishia kuokota mipira. Hakuna kama cr hata tukimpanga na wewe atachukua tu uefa
Kama kipimo cha ubora ni kucheza timu tofaut tofaut....hata mrisho ngasa ni zaid ya king messi
 
Hii ndio sababu washabiki wa Madrid hawatak kukubaliana na ukweli[emoji116] [emoji116]


Ni Ronaldinho peke yake ambaye washabuiki wa Real Madrid walimpigia makofi alipokuwa akitoka nje ya uwanja kumpisha mchezaji mwingine kuchukua nafasi yake ingawa aliwafunga goli mbili siku hiyo ya mechi pale pale uwanjani kwao.
 
Kawao

Kawapiku kwa lipi babu mbona unapiga kelele tu na mahaba niue yako. Cr mfalme hajabakiza kitu chini ya jua sio EPL LA liga uefa uero na uchafu wote ambao mess itabaki simulizi kwake na kwenu
CR7 ana Olympic??
 
Ndo tatizo lenu mashabiki wa Messi..
Tushawabutua sana Camp Nou
vikombe ndo usiseme.... lakini badoo
Cheki Copa derey huko king Messi10 anavowafanya Celta Vigo Muda huu, dk ya 15 tu kashapiga bao 2...

Naomba round ijayo tuwe nanyie Madridiots, mmeendelee kuona uwezo wa Messi10. Mtamchukia sana siku Zote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…