Hatimaye Lionel Messi athibitisha kwamba yeye ndio mchezaji bora wa dunia

Hatimaye Lionel Messi athibitisha kwamba yeye ndio mchezaji bora wa dunia

Arsenal kapigwa mtalimbo na Messi
Man Utd kapigwa mitalimbo
Man city kapigwa mitalimbo
Labda Chelsea kidogoo

Asante kwa kumfafanulia ... ligi ya Laliga kuna mpira mwingi mno vipaji vya kutosha Messi aje akutane na akina Crystal palace [emoji23]
 
Ndo maana unakuta Mijadala mingi inamfananisha Messi na akina Pele na Maradona ... lakini Ronaldo anafananishwa na Messi
[HASHTAG]#PoorPenaldo[/HASHTAG]
 
Itakuwa unaota uku uko uchi brother barca huwa inaitandika Madrid kama vile inaitandika levante
sasa mkuu nani bingwa? Champions League 2016
[emoji471] UEFA Super Cup 2016
[emoji471] FIFA Club World Cup 2016
[emoji471] LaLiga 2017
[emoji471] Champions League 2017
[emoji471] UEFA Super Cup 2017
[emoji471] Spanish Super Cup 2017
[emoji471] FIFA Club World Cup 2017

[emoji41] [emoji41]
 
sasa mkuu nani bingwa? Champions League 2016
[emoji471] UEFA Super Cup 2016
[emoji471] FIFA Club World Cup 2016
[emoji471] LaLiga 2017
[emoji471] Champions League 2017
[emoji471] UEFA Super Cup 2017
[emoji471] Spanish Super Cup 2017
[emoji471] FIFA Club World Cup 2017

[emoji41] [emoji41]
Cr7 ana laliga ngapi?
 
Cheki Copa derey huko king Messi10 anavowafanya Celta Vigo Muda huu, dk ya 15 tu kashapiga bao 2...

Naomba round ijayo tuwe nanyie Madridiots, mmeendelee kuona uwezo wa Messi10. Mtamchukia sana siku Zote...
Cr7[emoji123][emoji471] [emoji471] [emoji471][emoji471] [emoji471] [emoji471]
 
Tatizo la Messi anatumia ndumba, mganga wake wa Argentina alishamwambia akithubutu kutoka Barca atakuwa kama Lukaku basi anaogopa huyo. CR7 ni mashine ya kutwanga na kupepeta, hategemei miziziology. Alimfukuzia andunje from 4-1 to 5-5 , huyu si mtu wa kawaida
 
Na washangaa sana mashabiki wa EPL, na niwaulize maswali yafuatayo:
1. Kwani ili mchezaji awe bora lazima acheze EPL?
2. Mara ya mwisho hiyo ligi yenu pendwa kutoa mchezaji bora mwaka gani? Na kwanini?
Mchezaji mzuri hawezi hama kutoka La liga kwenda EPL, kwahiyo messi akihama Barca na kwenda team yeyote ya EPL mujue amechuja mno. Kwa miaka zaidi ya 10 sasa laliga ndio ligi bora
Kudhibitisha ubora lazma uangalie changamoto tofauti na upate mafanikio kila ulipokanyaga. Kuonyesha mesi hamna kitu kashindwa pata mafanikio hata na agentina
 
Musiwe mnapenda kumfananisha King Leo Messi na vitu vya ajabu ajabu...
Kweli cr7 wa ajabu kila anapitapo ni kubeba ndoo tu. Mess wa ajabu kweli anaingangania baca kama wamemwambia ukihama utakufa
 
Utajipimeje mchezaji bora kwa kuogopa changamoto . Atoke uko aende EPL uko mbeleko hakuna ataishia kuokota mipira. Hakuna kama cr hata tukimpanga na wewe atachukua tu uefa
Kwani hizo timu si huwa anakutana nazo champions league?
 
sasa mkuu nani bingwa? Champions League 2016
[emoji471] UEFA Super Cup 2016
[emoji471] FIFA Club World Cup 2016
[emoji471] LaLiga 2017
[emoji471] Champions League 2017
[emoji471] UEFA Super Cup 2017
[emoji471] Spanish Super Cup 2017
[emoji471] FIFA Club World Cup 2017

[emoji41] [emoji41]
Cr 7 ni shida saaaana huyu jamaa sifa zimemzidi
 
Kweli cr7 wa ajabu kila anapitapo ni kubeba ndoo tu. Mess wa ajabu kweli anaingangania baca kama wamemwambia ukihama utakufa
Hela anayolipwa Messi, Cr7 hamfikii hata! Uhame unatafuta nn tena?

Jana CIES wametoa ripoti ya thanani ya wachezaji.
1. Neymar € 213
2. Messi € 202.2

49. Cr7 wa 49...€ 80

Hata data za msimu jana, individually, Messi was better than Cr7. Kilicho mbemba ni mafanikio ya msimu huo ya Club kama Club ila siyo yy kama yy.
 
Back
Top Bottom