Hatimaye Mahasimu wa Muda Mrefu Jay Z na Nas wamekutana tena kwenye Album ya Dj Khaleed

Hatimaye Mahasimu wa Muda Mrefu Jay Z na Nas wamekutana tena kwenye Album ya Dj Khaleed

Au tuseme ni pesa huleta hekima mkuu? Maana ukiangalia hizo bar za hiyo nyimbo zina maana sana binafsi imeleta maana ya hip hop na ukongwe mkuu Darmian.

Wanzetu drugs wanaiongelea kama ilikuwa tu kama njia ya kutafuta kusikia malengo

Came from the pitchin (Came from the pitchin)', ’caine in the kitchen
Dangerous missions, wastin' your time if you want my forgiveness (Forgiveness)
they talk about hustlin and they have something to school us- thats why we love their music. Hawa marapa wa sasa wanakazi nzito kutushawishi watu kama sisi.
 
Wote mistari ipo konki uzito umeenda sawa. Nyimbo nimeisikiliza kuna baadhi ya mistari

Nas anasema "Only Kings can stand near me....am fromt he ghetto,location 2 sec from the devil"

Naye Jay ' Z anasema " .. Intermittin' fasting, but these mil's, I'm not missin' lunch.."
mskilize vizuri kwa mara ya pili Jay
alafu google zile B anamaanza gani
first B
2ndcB
and Be ambayo akajibu Beyonce pale
 
Nas ana jealous tu. Jizzo ni tawi jingine yule. Gheto boy, kama unataka kumwelewa Jizzo sikiliza inteview zake. Very humble. I don't understand why people hate him! Even Queen B mwenyewe ageuzi. Unajua kwasababu gani? Jamaa ni genius kinoma, we sikiliza rylics zake. Kwahiyo Nas hawezi kugeuza kwa J. Na huo ndio ukweli na kila mtu anajua
Maneno ya shabiki
ila Nas na Jay wote wapo Cul
 
Yani ni kama Jay alijua game lote, kamficha Nas vibaya sana khaaa, but bado sijaridhika- promo kubwa ila nilichokiona bado sjakipenda. Naomba wafanye kingine na zaidi ya hiki

Tukiongea ukweli hii ngoma Nas kafichwa vibaya vibaya, lakini haters hawawezi kukubaliana na wewe
 
DJ Khaled ni producer..beat maker na arrangements ya hizo nyimbo zote anafanya yeye...

Baada ya ma producers wengi kuona hawapati hela inayolingana na jasho Lao ndo
Walianza hii ya kumiliki wimbo Kwa kuwashirikisha wasanii ambao wameshawafanyia production..

Timbaland kafanya Sana na wengine..

So usione haimbi chochote ..
Ni production yake...
halafu khaled alivyomjanja, kwenye hii album, kipengele cha executive producer kaweka majina ya watoto wake. hata ile ya awali pia alifanya hivyo.

ikitokea leo Mungu kamchukua, watoto wake watatambulika kama wamiliki halali wa album na wataendelea kula royalties(mrabaha) mpaka uzee wao.
 
Mimi naomba kujua kitu kimoja tu kuhusu huu muonekano wa Jay kadri siku zinavoenda na hzo dreads kichwan..

Sio mbaya kwa mtu kuwa nazo ila kwa mtu kama Jay ambaye ni smart sana kwann aliamua kuwa na mtindo huo, je amewahi kuelezea chochote ktk interview zake kwa wanaomfatilia?

Au ni mashart ya chama alichopo kinamtaka awe ivo..

Nakumbuka Oprah aliwah kumsifia sana huyu mwamba kwa usmart alionao,alidatishwa sana na perfume anayoitumia mara walipokumbatiana ktk event flan..ilikua ni miaka ileeee
 
kuwa na Rasta haimaanishi inakuondoa u smart mzee.
 
mskilize vizuri kwa mara ya pili Jay
alafu google zile B anamaanza gani
first B
2ndcB
and Be ambayo akajibu Beyonce pale

mskilize vizuri kwa mara ya pili Jay
alafu google zile B anamaanza gani
first B
2ndcB
and Be ambayo akajibu Beyonce pale

mskilize vizuri kwa mara ya pili Jay
alafu google zile B anamaanza gani
first B
2ndcB

mskilize vizuri kwa mara ya pili Jay
alafu google zile B anamaanza gani
first B
2ndcB
and Be ambayo akajibu Beyonce pale
Anonymousafrica:

"Sorry, that's another B
Mwaka 2019 Jay-Z alikuwa msanii wa kwanza kwa mitindo ya kufoka (Hip hop) kuwa billionaire wa kwanza hiyo ilikuwa ni mwezi juni.

Haters still ain't recover from the other B

Msanii huyo wa hip-hop na mfanyabiashara nguli Jay-Z akanunua akapiga tena hatua kubwa kwa kununua hisa 50% kutoka katika kampuni ya LVMH Moët Hennessey kutoka kwa rafiki yake wa karibu anayeitwa (Armand de Brignac).
Inaripotiwa yakuwa chapa(brand) hiyo ilikuwa na thamani zaidi ya dola milioni 300$ za kimarekani.

Mm, that's a double B/Nah that's a triple B
Akiwa muasisi na mwanahisa mwenye hisa nyingi Tidal akauza hisa zake kwa muasisi na muanzilishi wa( Square na Twitter Jack Dorsey ) ambazo zinakadiriwa zilikuwa na thamani ya dola za kimarekani milioni 297$

, can't forget 'bout the other Bey (Hey)" - Jay-Z & Beyonce

Bey
habari yake ulimwengu huu inafahamika mkuu😆😆 kawakumbusha tu yeye ni mtu wa aina gani ila hata Nas hajakaa kinyonge kwenye uwekezaji wake wa cryptocurrency?? Achilia mbali 2013 alikuwa na clothing line yake ya HSTRY sikiliza muziki mzuri ngoma inahamasisha kutafuta mkuu binafsi kwangu mimi 😆
 
Anonymousafrica:

"Sorry, that's another B
Mwaka 2019 Jay-Z alikuwa msanii wa kwanza kwa mitindo ya kufoka (Hip hop) kuwa billionaire wa kwanza hiyo ilikuwa ni mwezi juni.

Haters still ain't recover from the other B

Msanii huyo wa hip-hop na mfanyabiashara nguli Jay-Z akanunua akapiga tena hatua kubwa kwa kununua hisa 50% kutoka katika kampuni ya LVMH Moët Hennessey kutoka kwa rafiki yake wa karibu anayeitwa (Armand de Brignac).
Inaripotiwa yakuwa chapa(brand) hiyo ilikuwa na thamani zaidi ya dola milioni 300$ za kimarekani.

Mm, that's a double B/Nah that's a triple B
Akiwa muasisi na mwanahisa mwenye hisa nyingi Tidal akauza hisa zake kwa muasisi na muanzilishi wa( Square na Twitter Jack Dorsey ) ambazo zinakadiriwa zilikuwa na thamani ya dola za kimarekani milioni 297$

, can't forget 'bout the other Bey (Hey)" - Jay-Z & Beyonce

Bey
habari yake ulimwengu huu inafahamika mkuu[emoji38][emoji38] kawakumbusha tu yeye ni mtu wa aina gani ila hata Nas hajakaa kinyonge kwenye uwekezaji wake wa cryptocurrency?? Achilia mbali 2013 alikuwa na clothing line yake ya HSTRY sikiliza muziki mzuri ngoma inahamasisha kutafuta mkuu binafsi kwangu mimi [emoji38]
hahahahahhahahaaaaa thats nice dawg
kwahiyo Jayz kaongea mambo ya dakika 20 kwa sentens tatu tu[emoji3]
 
Mimi naomba kujua kitu kimoja tu kuhusu huu muonekano wa Jay kadri siku zinavoenda na hzo dreads kichwan..

Sio mbaya kwa mtu kuwa nazo ila kwa mtu kama Jay ambaye ni smart sana kwann aliamua kuwa na mtindo huo, je amewahi kuelezea chochote ktk interview zake kwa wanaomfatilia?

Au ni mashart ya chama alichopo kinamtaka awe ivo..

Nakumbuka Oprah aliwah kumsifia sana huyu mwamba kwa usmart alionao,alidatishwa sana na perfume anayoitumia mara walipokumbatiana ktk event flan..ilikua ni miaka ileeee

Kwenye interview yake kasema akifa anataka akumbukwe Kama marehemu Bob Marley inawezekana hata hizo nywele baada ya kuainspared na Bob
 
Anonymousafrica:

Yani kwa kila hizo bar tunaandikia vitabu na series inatoka mkuu kwa wote wawili hata Nas muangalie vizuri
namuamini Nas sana, ila kwa huu wimbo hajaonyesha kiwango cha kila siku, labda ilikuwa ghafla kwake na pia ukimya humfanya mtu aje na kitu kizuri zaidi- mwaka jana mwishoni hadi leo hii Nas amekuwa akitoa songs back to back, Jay alikuwa kimya mda mrefu, maybe lines alizotupa ni lines alizokuwa anaziwaza katika siku hizi zote- ndomana katoa kitu makini zaidi
 
Back
Top Bottom