Hatimaye majeshi ya Urusi yameuteka mji muhimu wa Mariupol

Wasema!!!??
 
Ashukuru Mungu wale raia 1000, ndio maana Urusi kashindwa kupiga Bust bomber maana dunia ingemuona katili mbwa, ila kuna alternative ngoja tuwaue kwa njaa

Hata [emoji631] alitumia bunker buster bombs kule Iraq na huyo ndio Mbwa haswa kwani walikuwemo raia wa kawaida wakiwemo watoto wengi sana na zingine zilikuwa ni hospitali
Wakijua Hilo bado wakapiga tu
Putin ni top commander
 
America always huwa anamwagia petrol kwenye moto
Wanajua vita vizuri sana na matokeo yake na yajayo pia kwani ni mambo yanayojirudia kila vita tangu enzi na enzi lakini wanajitoa ufahamu tu

Ni hivi wametoa package ya $800m za silaha mpaka ghost drones kwa kuwasaidia Ukraine
Lakini wanajua fika mwisho wa siku silaha hizo atazikamata Mrusi na kuzitumia against Ukrainians

Haya yametokea Iraq, Syrië, Afghanistan na kwingineko anapopeleka silaha
Swali je anafanya makusudi? Ili silaha ziuwe pande zote?

Malengo yake ni nini? Na huo anauita msaada wa kijeshi why weapons?
Kwanini asisaidie kwa mengine
America anapenda vita iendelee ili auze silaha zake kingine hana cha kuuza

Hivi umewahi kununua bidhaa gani made in USA?
Hata yeye anatoa bidhaa China ingawa ni nembo zake
 

Mnachekesha sana masheikh wa Bongo mjue, itazame hii ramani wapi hako kamji mnakojisifia kalipo, mlikwenda kuwaondoa manazi Ukraine na kuweka utawala mpya kwenye nchi ya watu, kilichowakuta sasa.

 
kwahiyo baada ya mauriupol ni mji gani unafata kuchukuliwa nadhani MK254 anaweza kutujuza

Sheikh tazama Li-Ukraine lote kwenye hii ramani na hako kamji mnakojisifia baada ya kupoteza vyote mlivyopoteza, imeshindikana kuondoa manazi Ukraine au Kiev.

 
Hata we mkuuu huwez kubali mashart hayo
 
mji mdogo sana ni kama katavi kwa hapa bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…