mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,258
- 22,552
Huo mji inamaana wanauteka kila siku kwa sababu toka vita imeanza kila siku wanasema umeuteka huo mji. Na ukijaribu kulifuatilia hili swala rais wa Ukraine huwa analipinga mara kwa mara.
Na ikumbukwe warusi ni waongo balaa juzi tu meli yao ililipuliwa na wanajeshi wa Ukraine lakini hilo warusi walipinga wanasema ilijilipua yenyewe.
Na unaweza usikie huo mji Leo wanasema warusi wameuteka mara kesho tunasikia umerudi tena Ukraine.
Inamaana ww unataka Ukraine kila wanachofanya wawe wanatupia video mtandaoniKama wanaongopa basi ni muda mzuri kwa ukraine kuonyesha ukweli.wanatakiwa wanajeshi wa ukraine wakachukue video wakiwa kwenye jengo la halmashauri ya jiji la mariupol ili tuamini kuwa warusi waongo
Ile imestaafishwa kwenye bato inatumika km daladalaHelicopter ya mabomu ndio Mh Nape anapiga nayo misele sasa.
Mariupol haujachukuliwa raisi Zelensnkyy kaongea mbele ya TV walichofanya wamezingira kiwanda cha chuma ambacho hadi sasa Askari wa Ukraine wapo na wanaendelea kupigana na Jeshi la RussiaSheikh tazama Li-Ukraine lote kwenye hii ramani na hako kamji mnakojisifia baada ya kupoteza vyote mlivyopoteza, imeshindikana kuondoa manazi Ukraine au Kiev.
KYIV, Ukraine — Russian President Vladimir Putin tried to claim victory in the strategic port of Mariupol on Thursday, even as he ordered his troops not to storm the last pocket of Ukrainian resistance in the war's iconic battleground.kwahiyo baada ya mauriupol ni mji gani unafata kuchukuliwa nadhani MK254 anaweza kutujuza
Kuandika upuuzi kama huu unakutambulisha pasi na shaka kuwa wewe ni mwehu!Wacha wafe kwa njaa na magonjwa, inasemwa kuna wanajeshi zaidi ya 500, ni majeruhi na hakuna dawa viva Putin
Wendawazimu wapo wengi kwelikweli nchi hii! Mh! Eee Mola wetu wajalie ufahamu japo waweze kujitambua japo kwa 20%utin yafaa apewe tuzo ya Nobel,
Ni ubindamu wa hali ya juu Sana anawafanyia askali wa Ukraine
Maana ake Apo watajiua wenywe kwa kiburi Chao, yeye hatahusika
Sasa mmarekani unataka nae atengeneze toothpick kwel, yeye alishahama huko uchumi wake nimkubwa ukitaka anakuuzia Boeing au space xAmerica always huwa anamwagia petrol kwenye moto
Wanajua vita vizuri sana na matokeo yake na yajayo pia kwani ni mambo yanayojirudia kila vita tangu enzi na enzi lakini wanajitoa ufahamu tu
Ni hivi wametoa package ya $800m za silaha mpaka ghost drones kwa kuwasaidia Ukraine
Lakini wanajua fika mwisho wa siku silaha hizo atazikamata Mrusi na kuzitumia against Ukrainians
Haya yametokea Iraq, Syrië, Afghanistan na kwingineko anapopeleka silaha
Swali je anafanya makusudi? Ili silaha ziuwe pande zote?
Malengo yake ni nini? Na huo anauita msaada wa kijeshi why weapons?
Kwanini asisaidie kwa mengine
America anapenda vita iendelee ili auze silaha zake kingine hana cha kuuza
Hivi umewahi kununua bidhaa gani made in USA?
Hata yeye anatoa bidhaa China ingawa ni nembo zake
Sikusikia hii habari pengine popote kuwa huo mji umechukuliwa na Russia zaidi ya hapa JF.Mariupol haujachukuliwa raisi Zelensnkyy kaongea mbele ya TV walichofanya wamezingira kiwanda cha chuma ambacho hadi sasa Askari wa Ukraine wapo na wanaendelea kupigana na Jeshi la Russia
Sehemu zingine za mariupol vita inaendelea
True ni tskataka ya nato ni kama tz tu sa100 ni takataka ya msogaYule rais nawasi wasi alichomekwa tu wala sio raia wa ukrain ndio maana amekosa huruma na nchi yake pamoja na raia,
Sasa mmarekani unataka nae atengeneze toothpick kwel, yeye alishahama huko uchumi wake nimkubwa ukitaka anakuuzia Boeing au space x
Wacha wafe si wanajeshi hao , unataka wafie baa au gesti? acha ukichaaKuandika upuuzi kama huu unakutambulisha pasi na shaka kuwa wewe ni mwehu!
Sasa wanabisha nini kuwa mji umeanguka.urusi uzuri anaongea kwa vitendo wala sio kwa manenoInamaana ww unataka Ukraine kila wanachofanya wawe wanatupia video mtandaoni
Mariupol haujachukuliwa raisi Zelensnkyy kaongea mbele ya TV walichofanya wamezingira kiwanda cha chuma ambacho hadi sasa Askari wa Ukraine wapo na wanaendelea kupigana na Jeshi la Russia
Sehemu zingine za mariupol vita inaendelea
Wazungu wa kwa mtogole ni shida. Hivi umeona miji ya Ukraine ilivyokuwa magofu? Umeona watu raia walivyokufa kwenye hii vita? Umeona lakini watu wamekimbia makazi na kwenda ukimbizini?Russia, thanks for restoring humanity on earth planet, west stop exploiting your fellow human being
Kama sehemu gani ambayo vita inaendelea kwa sasa?
Kweli nimeona kazi Urusi anayo inaonekana hawezi ingia kabisa. Humo ndani ukute watu wana misosi ya hadi mwaka. Vinginevyo wangeshajitokeza juu.KYIV, Ukraine — Russian President Vladimir Putin tried to claim victory in the strategic port of Mariupol on Thursday, even as he ordered his troops not to storm the last pocket of Ukrainian resistance in the war's iconic battleground.
Russian troops have besieged the southeastern city since the early days of the conflict and largely pulverized it — and top officials have repeatedly indicated it was about to fall, but Ukrainian forces stubbornly held on. In recent weeks, they holed up in a sprawling steel plant, and Russian forces pounded the industrial site and repeatedly issued ultimatums ordering the defenders to surrender.
Putin said that, for now, he would not risk sending troops into the warren of tunnels under the giant Azovstal plant, instead preferring to isolate the holdouts who have captivated the world's attention "so that not even a fly comes through." His defense minster said the plant was blocked off, while giving yet another prediction that the site could be taken in days
Putin's order may mean that Russian officials are hoping they can wait for the defenders to surrender after running out of food or ammunition. Bombings of the plant could well continue.
Russian Defense Minister Sergei Shoigu said about 2,000 Ukrainian troops remained in the plant, which has a labyrinth of tunnels and bunkers that spread out across about 11 square kilometers (4 square miles). Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said that about 1,000 civilians were also trapped there.