MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Ma-used car
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je ni nje ya nchi nikiwa namaana ata nchi jirani au ni labda nje ya bara la Africa?Sio mwaka mmoja nadhani zaidi ya mitatu. Na sio haulipi kodi yote, kuna baadhi ywya vipengele utalipia.
UongoHawazuii ata gari la. Miaka 20 we likete tu. Ila kuna kodi flani ya uchakavu utalipia.
Magari ya 2017 kuja juu ni gharama sana na iyo kodi ndio utasamehewa tatizo bei ya ayo magari.
MkubwaSure
Bongo kuna mafundi chuma, sio mechanics 😄Kwny hio top 10 ya be forward hapo juu umeona gari za kijerumani ngapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hapo haumdanganyi mtu.
Tunabishana kuhusu kodi ya magari recently na ya zamani. BMW X5 ya 2002 kodi yake ndogo kuliko ya 2015.Sijakuelewa point yako mkuu.
Ooh hapo nimekusoma mkuu.Tunabishana kuhusu kodi ya magari recently na ya zamani. BMW X5 ya 2002 kodi yake ndogo kuliko ya 2015.
Bado hujaelewa??
Mhh sidhani kama unaweza kupata Kwa hiyo beiNina 15M......yoyote mwenye hio CX-5 aniuzie
Mhh sidhani kama unaweza kupata Kwa hi
Kama upo under tight budget unataka CX-5 naweza kushauri ukaangalia Mazda CX-3 (ni ndogo) au ukaangalia Crossover Mazda Axela. Ingawa hii iko chini sanaaaa.
Picha ya Mazda CX 3 hii hapa inafanana na CX5 ila ni ndogo.
View attachment 2969998
By ndogo namaanisha kuanzia muonekano, engine, power hadi features.
Kwa kufananisha umbo (shape) ya CX5 na CX3 angalia hii size comparison. Nyeusi ni CX5 na iyo rangi ya pink sijui ni CX3.
View attachment 2969997