HATIMAYE: Mazda CX-5 imeingia Top 5 ya gari zinazoingizwa Tanzania kutoka Japan

HATIMAYE: Mazda CX-5 imeingia Top 5 ya gari zinazoingizwa Tanzania kutoka Japan

Hawazuii ata gari la. Miaka 20 we likete tu. Ila kuna kodi flani ya uchakavu utalipia.

Magari ya 2017 kuja juu ni gharama sana na iyo kodi ndio utasamehewa tatizo bei ya ayo magari.
Uongo
Mkubwa

Fanya comparison hapa
tapatalk_1707528547568.jpg
 
Tunabishana kuhusu kodi ya magari recently na ya zamani. BMW X5 ya 2002 kodi yake ndogo kuliko ya 2015.

Bado hujaelewa??
Ooh hapo nimekusoma mkuu.

My point ilikua, gari likiwa chini ya miaka 8 tokea kitengenezwe (kwa sasa gari la kuanzia 2017 kuja juu) linafutiwa Excise Duty due to Age ambayo hainaga madhara makubwa sana kwasababu unakuta gari jipya still CIF ni kubwa na ivyo ushuru unakua mkubwa kama ulivoonesha hapo kwenye izo X5 mbili. Uko sahihi kabisa itakua tu hatukuelewana vizuri.

Mfano wa pili, watumishi wa serikali wanamsamaha wa kodi flani wakiomba. Lakini moja ya sharti, lazima gari liwe chini ya miaka 8. Nilitakaga mimi kuapply hii ila tatizo likaja lilelile gari ya lastest below 8 years inakua gharama sana kuanzia CIF na kodi ata ikisamehewa Excise Due to Age & Huo msamaha bado bei kubwa sana Bora kupambana na mikweche ya zamani.
 
Kama upo under tight budget unataka CX-5 naweza kushauri ukaangalia Mazda CX-3 (ni ndogo) au ukaangalia Crossover Mazda Axela. Ingawa hii iko chini sanaaaa.

Picha ya Mazda CX 3 hii hapa inafanana na CX5 ila ni ndogo.

1280px-2017_Mazda_CX-3_Sport_NAV_Automatic_2.0_Front.jpg

By ndogo namaanisha kuanzia muonekano, engine, power hadi features.

Kwa kufananisha umbo (shape) ya CX5 na CX3 angalia hii size comparison. Nyeusi ni CX5 na iyo rangi ya pink sijui ni CX3.

Screenshot_20240421-154836.png
 
Kama upo under tight budget unataka CX-5 naweza kushauri ukaangalia Mazda CX-3 (ni ndogo) au ukaangalia Crossover Mazda Axela. Ingawa hii iko chini sanaaaa.

Picha ya Mazda CX 3 hii hapa inafanana na CX5 ila ni ndogo.
View attachment 2969998
By ndogo namaanisha kuanzia muonekano, engine, power hadi features.

Kwa kufananisha umbo (shape) ya CX5 na CX3 angalia hii size comparison. Nyeusi ni CX5 na iyo rangi ya pink sijui ni CX3.

View attachment 2969997

Bei ya hii CX-3 si chache labda kama unafanisha na CX -5 za kuanzia 2017
 
Back
Top Bottom