Hatimaye Mke wa Sugu afunguka kuhusu kufuta picha ya Sasha baada ya povu la Faiza

Kumbe unaogopa kutukanwa kiasi hiki hahahaa!!!!
Kutukanwa hakufanyi hata nywele yako moja kunyofoka.
 
Kumbe unaogopa kutukanwa kiasi hiki hahahaa!!!!
Kutukanwa hakufanyi hata nywele yako moja kunyofoka.
Najua kwamba hakufanyi ninyofoke ila kamwe siwezi kujibizana na mtu wa aina hii zaidi nitavunja heshima yangu
 
Kwa aibu kaifuta post. Funzo kwa wanawake wenzangu ukisifiwa leo jitahidi usilewe hizo sifa. Happy kwa muda mrefu watu walimuonea huruma kwa matusi aliyokua anamwagiwa na faiza ila kwa post moja tu amejishusha na kuonekana mpenda attention mkubwa.
 
Inatupasa tutumie hii mitandao vizuri kwa faida ya vizazi vyetu,tuheshimu jamii yetu inayotuzunguka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…