Hatimaye mke wangu tuliyekutana JamiiForums tumeachana!

Feminist yeyote kwangu napiga napita hivi,sasa kwanini mtu uoe janamke la hivyo, samaki wa mapambo haliwi
Sijazungumizia Feminist mie, nimekuuliza kwani walioko huku si ndo walioko mtandaoni? Au mkeo hatumii mitandao?
 
Ko hao wa mtaani hawako mtandaoni? Au huyo mkewe hatumii mitandao? Lol
Na Mimi nazungumza kuhusu kuoa mtu uliyekutana mtandaoni,unajua kapigwa na wangapi kabla yako?

Nb:my wife hatumii mitandao nina uhakika
 
Br mwanamke mazingira uliye mpatia ndo hayohayo ukishangaa sanaa utampoteza kwenye mazingira hayo hayo
 
Nimekua mchafu, Tangu uniache wewe,
Nakula kwa shida sababu napika mwenyewe.


Wananiita Mkangafuu silali mpaka nilewe,
Fanya urudi baby nitakufa bureeeee.

Mmmmh kosa gani lisilo sameheka baby,
Niamini nimejirekebisha baby.

Jirani BICHWA KOMWE - anavyokukumbuka baby.. rudi nyumbani mumeo ninakuita beei....

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Hivi mnapendanaje humu Jamii Forums aisee?, anyways pole sana mkuu muda ndo tiba utakuponya niamini. Hukuzaliwa nae huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…