Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Sio wewe tu. Wapo wengi tu lakin wamevunga kimya. Ila usijal ninavyoona mama anaenda uchumi utakuwa sawa soon.. halaf watashangaa vidume tunavimba Tena kitaa bila wasiwasi.
Mama atarejesha nguvu za kiume,,😁😁
 
Nashukuru saana kwa ushauri hata hivyo Mungu mwema maana nilikua napitia mateso saana kwa huyu mwanamke Mungu ameniweka huru.

Kuhusu mke mwingine hapana wanangu ni wadogo saana
Pole mkuu,alishindwa hata kua na chembe kidogo ya huruma kwa watoto wake badala yake akaona huyo mchepuko ndo wa maana sana kwake,kajidhalilisha sana.Katika maisha yangu yote my first priority ni wanangu.. Nilipo wawepo.Na umesema bado ni wadogo.Hua naamini hakuna mtu mwenye upendo unaozidi ule wa wazazi.
 
Kweli na kilichonishangaza anasema mbele ya mchungaji hanawasiwasi na watoto watabaki na baba yao .... Daaaah nimemshangaa ni Mama gani huyyu
 
Nguvu za kiume zinahusiana vp na pesa? Mbona kuna watu wengi tu Wana pesa na hawana nguvu za kiume?
Jamaa unakichwa kigumu saana.... Nilichomaanisha mwanaume ukiwa huna hela kwa mwanamke wewe huna maana huna sauti ila ikiwepo unaonekana rijali
 
ukubwa dawa
 

Mistar ya miwili ya mwisho imenitafakarisha sana..[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Matako makubwa yanaanzia kiasi gani ifi i mayI ask!!??
 
Tena uogopa sana Mke anae kwambia kila Mtu apambane na hali yake baada ya uchumi wako kuyumba,ujuwe kabisa mwenzio tayari ana ma sponsor kwenye vita yenu ya kiuchumi!!
 
We tulia ka na kutafuta hela huyo hana muda utashangaa anakuita baba, mungu yesu mpe muda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…