Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Status
Not open for further replies.
maziko haya mtashangaa kusikia ataruhusiwa mkewe tu ndani na ni closed casket itakayopigwa moto na majivu hayalali pahala, moja kwa moja baharini!

hapo utaunganisha mwenyewe kama balali kafa sura haitazamiki au hajafa kumezikwa gogo
 
naona kifo cha ballali kinatumiwa kama product placement humu ! ntoke zangu mie ! Dead Thread !
 
The time spent kumzungumzia balali tungeuweka kuzungumzia namna ya kunyanyua uchumi wetu unaodondoka kwa kasi it would have helpd. do not get me wrong it is good to discuss the passing of our beloved and not so beloved ones. but it never bring them back. let us get solution to the EPA thing and many others not details about funerals. It is like TZ herself has passed bwana.
 
Kwa kweli kifo cha Nd Balali siyo cha kawaida.Mara anaumwa mara ametoka hospital, mara kapotea, mara anatafutwa, mara hatafutwi, mara kafa, mara hajafwa!!!!!!!!!!Du sasa tuwelwe kipi. Mtu anakufwa taarifa zinatoka baada ya siku tano???? Ndugu walijua au nao walifichwa? Na hao makachero kutoka Tz waliyokuwa wanamtafuta baada ya kufa tuwaweleje? So confusing. Mtu akifa si anazikwa na wapenzi wake kwa nini watu wasiruhusiwe kumzika????
Hiki ni kifo cha mwaka kweli!
 
People,

Am sorry but this is the worst cover-up (and a bothed one too) since 9-11!

Balali ISNT dead... he is alive and kicking! If u want my analysis, just PM me!

I wonder why Mwanakijiji started this thread, telling us this atrocious lie!

I have made my 2 and 2, and it didnt come up with 4!

./Mwana wa Haki
 
Week tatu zilizopita Mwanakijiji alianzisha thread inayosema Balali alishakufa kitambo na serikali inaficha.

Then ikaja breaking news ya invisible kwamba Balali kafariki lakini haikusema kafia wapi.

Then ikaja memo kutoka BoT inayodeclare kifo cha Balali na kusema kimetokea Boston, katika hospital ya moja hapo jimboni Massachusetts.

Then akaja jamaa mmoja ambae aliconfirm kuongea na Balozi wa Tanzania jimboni DC ambapo balozi alideclare kwamba hana habari ya kifo cha Balali.

Then Mwanakijiji akaja na data kwamba Balali kafia Capital hill yaani DC.

Then akaja FMES kwamba Balali kafia Wisconsin kajika mji wa madison kwenye university hospital.

Then now Mwanakijiji anasema Balali anakaa karibu na Georgetown University na karibu yake kuna mtaa unaitwa Wiscosin, lakini hakuna jina la madison ndani ya huo mtaa wala hakuna university hospital mkabala na huo mtaa.

FMES source zako zimekuconfim kifo, au kaka wamesha kuseason na wewe kwamba kafa?

Now who to believe? Tuwaamini waliokuwa waajiri wake? yaani serikali ya Tanzania? au Mwanakijiji? au Balozi au FMES? It sound more like a Ken Lay. Mtanzania do the math.

by
Conspirancy analyst
 
Kuhani Mkuu ,


Kuhusu maelezo ya kuwa na uraia wa mataifa mawili ya Tanzania na Marekani na kama nchi hiyo ina taarifa za marehemu huyo kuwekeza vitega uchumi vikubwa nchini humo, Bw. Salaiz, alisema mengi yamesemwa kuhusu Balali lakini nchi hiyo ilimfutia haki ya kuwa raia wa Marekani mwanzoni mwa mwaka huu na asingependa kuzungumzia masuala ya uwekezaji.

Nilishawai kusema kwamba Balali alikuwa raia wa nchi ya Marekani, wapo wengi sana waliobisha kwamba hakuwai kuwa raia wa US. Msemaji wa ubalozi anasema kwamba US ilimfutia uraia wa US, reason behind ni kwamba US wanakupa time ya wewe kukana uraia wako wa Tanzania sababu hatuna dual citizen, na usipofanya hivyo ni automatic revoke.

There is alot of staff behind the closet, believe me the skeleton is too big to be hiden.
 
Nilishawai kusema kwamba Balali alikuwa raia wa nchi ya Marekani, wapo wengi sana waliobisha kwamba hakuwai kuwa raia wa US. Msemaji wa ubalozi anasema kwamba US ilimfutia uraia wa US, reason behind ni kwamba US wanakupa time ya wewe kukana uraia wako wa Tanzania sababu hatuna dual citizen, na usipofanya hivyo ni automatic revoke.

There is alot of staff behind the closet, believe the skeleton is too big to be hiden.


mkuu ungesoma vizuri ungeona sio kweli alivyonukuliwa na nipashe, ukweli ni visa sio uraia
 
mkuu ungesoma vizuri ungeona sio kweli alivyonukuliwa na nipashe, ukweli ni visa sio uraia

Right to be a citizen. Sio haki ya kuwa residence au haki ya kuwa visitor. Sasa kama wame misquote hiyo statement who need to be blamed? I total believe kwamba Dr alikuwa raia, na Mkapa ignored that, but all that is tisa, kumi ni kesho kwani Camera zetu zitakuwa Wisconsin street tayari kumuona marehemu kwa mara ya mwisho.
 
Balali amefariki na mipango ya mazishi iko vile vile kama nilivyowahabarisha jana. Kitu ambacho naweza kukisema kwa uhakika wa asilimia 100 hadi sasa ni kuwa hakutakuwa na kuuangalia mwili. Familia na jamaa wa karibu waliuona mwili siku ya Jumanne usiku na kesho ni misa tu ya marehemu.

Halafu nisipoamini kuwa balali kafa watu wananishangaa.
 
Binafsi siamini nchi kamaTZ kwamba tumefikia kiwango cha juu cha intelligensia cha kuweza hata kuunda kifo,labda kuua.Na kama kifo cha balali kimeundwa basi kitajulikana tu.
 
According to the dataz, ni kwamba hawa watu wa ubalozi, wamekuwa wakiwalilia familia ya marehemu ili nao waweze kuhudhuria mazishi kesho, lakini nasikia familia wamewakea ngumu mpaka dakika hii, sasa hapa wanasema nini? Ni bora wanyamaze tu!

Na wasiruhusiwe kwenda huko kwenye mazishi kabisaa!



Hivi kuna ubalozi wa Marekani Marekani?
 
Jamani BALALI HAJAFA

Check this out....

Baada ya kupata habari kuwa makachero wameingia US kumsaka Balali, wakajua kuwa hawana ujanja, jamaa angekamatwa tuu, njia pekee na ya mwisho iliobaki plus kusolve hii issue once and for all ni kufake death (jamaa hela anayo kufanikisha hilo ni kazi ndogo sana)

Tarehe za kifo kila mtu anatoa yake plus eti ndugu walichelewa kutoa taarifa ya kifo sbb ilikuwa inasubiri serikali iseme... iseme nini???

huku home hakuna dalili yeyote ya msiba nyumbani kwake...si jambo la kawaida kwetu waafrika

Maiti ya balali haita ruhusiwa kutazamwa/kuagwa

hii Info ya kifo mpaka kila mtu kaipata, imeoriginate form ANNA MUGANDA, of all the ppl...... ANNA MUGANDA simuamini hata kidogo yeye ni mweizi mwingine huyu, mtuhumiwa mwingine aliekula hela zetu

Ushauri, baada ya hayo "maziko" hao makachero waliotumwa mumfata BAlali, sasa wambebe huyo ANNA MUGANDA, kuja kujibu ili kujua aje kujibu nini rejea tanzania mafioso PDF
 
Mimi Bado Siamini Kwamba Balali Katutoka Kwa Sababu Watu Wanaotoa Taarifa Wanajichanganya Tuu. Mara Kafia Madison Wisconsin Ooh Mara Wisconsin Ni Mtaa Kwa Hiyo Hizo Reliable Source Hata Hazijui Wapi Ni Wapi? Na Hii Ni America Mtu Anaweza Akabadilishwa Na Kuwa Mwanamke, Au Kuwa Mtu Mwingine Na Balali Ana Vijisenti Vingi Na Anaweza Kujiweka Kuwa Watu Wengine. Kwa Hiyo Ndio Hivyo Balali '' Amekufa'' Yaani Kashabadilishwa Na Kuwa Mtu Mwingine, Kwa Hiyo Technical Amekufa. Na Ndio Maana Hawaonyeshi Mwili, Yaani Mtu Ambaye Wanajua Kabisa Ni Controversial Hawamuonyeshi Ili Hata Wananchi Wawaonee Huruma Kwamba 'baba Na Wengine Mume' Amefariki.
 
KWENYE GAZETI LA NIPASHE LEO, WANASEMA MAMA YAKE AMEKUJA JUU ANATAKA MWILI URUDISHWE UJE UZIKWE KWA MILA ZA KWAO HAPA TZ, sasa isije ikawa huu mpango wa ku-fake death ni kati ya mke wa bilali fisadi ANNA MUGANDA na mafisadi wenzake!!! kama ni hivo UUWUIIII, pesa kaka yangu, pesa ni sabuni ya roho, pesa ndo mkubwa wetu.....PESA KWA NINI UMETUFIKISHA HAPA.KWA KWELI WEWE NDURURU HUNA HURUMA
 
Jmushi1, pole sana, habari hii imekufanya ufikiri sana, kunywa maziwa arudishe energy sasa. Utata huu hauwezi kuisha kirahisi.
 
Inawezekana mama hakushirikishwa katika kufake kifo ndo maana kaja juu kutaka maiti ya mwanae irudishwe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom