Hatimaye nimeanza mchezo wa kubet na mwanzo mzuri

Nipe mkeka wa mechi mbili za leo.
Mbona kubet rahisi tuu sema watu tamaa.
Mechi zako mbili au tatu tia mpunga tulia zako
Jana ilikuwa yanga ashinde na magoli mawili.
Spurs wolves gg
Man city o1.5 unatia million leo ulikuwa na laki 8
Uhakika sana mkuu SEMA Wana wanaweka timu kibao alafu wanatia buku kwahiyo Hela inakuwa ndogo mtu anaona ngoja aongeze timu ili Hela iongezeke mwisho ndo inakuwa lawama
 
Hata huyu anaweza asifike pasaka
 
Wajinga wachache wasiojua kubet ni nini ndio wanaosema betting mbaya.

Yanga na simba kushinda ni uhakika,liver na man city kutoa over 1.5 ni uhakika, juve 1X ni uhakika unashindwaje kula hela.

Nawafundisha kitu hapa duniani kuna timu ambazo kupoteza mechi ni ngumu sana esp wanapocheza na vibonde mfano simba na yanga wape waongoze first half au washinde mazima with no GG,Juve kupoteza ni ngumu mpe 1x, man city over 1.5 uhakika, tia mzigo usibetie kila timu
 
Uhakika sana mkuu SEMA Wana wanaweka timu kibao alafu wanatia buku kwahiyo Hela inakuwa ndogo mtu anaona ngoja aongeze timu ili Hela iongezeke mwisho ndo inakuwa lawama
Siriya beting na mzigo tuu...mchezo wa matajiri kila leo utakuwa unakula.
Leo mpe chelsea win.
Newcastle man utd o1.5 tulia zako
 
Hata huyu anaweza asifike pasaka
Kwa nilichokigundua watu wengi wanaofanya betting wanatumia hisia kuliko uhalisia unakuta mechi Kama ya Jana mtu anakwambia man city saivi kaisha hatoboi Anyway muda sio mrefu naweka mkeka wa timu tatu wa Leo naomalizia KUBET kwa mwenye Imani au copy
 
Hiyo hela ulipewa au uliokota, pili hujui kubeti kwahyo tulia
Assumptions.... Nimebet na betpawa huko huko sana basket kwa zaidi ya mwaka. Nimekula sana ila ikafika muda nikawa nachoma mikeka. Wanasema stake what you are ready to lose, nilipovuka huo mstari nikaacha betting huu ni mwaka nne.
 
Betting unakula kidogo at the end wewe ndip utapoteza tu.
 
Assumptions.... Nimebet na betpawa huko huko sana basket kwa zaidi ya mwaka. Nimekula sana ila ikafika muda nikawa nachoma mikeka. Wanasema stake what you are ready to lose, nilipovuka huo mstari nikaacha betting huu ni mwaka nne.
Umebeti kwa mwaka mmoja tu bado mtoto mchanga kwenye kubeti wewe;

Jifunze bure kutoka kwa gwiji na galacha la kubeti; Mimi nikitaka kubeti kwanza natenga kiasi maalumu cha fedha kwaajili ya kubetia sizidishi wala sipunguzi pili ninachagua ligi na timu za kuzibetia sibetii kila mechi tatu sibeti kila siku ninabeti kila weekend nne nikiliwa sibeti tena mpaka next weekend.

Nabetia mchezo mmoja tu football coz ndo mchezo ninaoufahamu vizuri na kuupenda sibeti kwa tamaa timu chache odds chache natia mzigo.

Sitegemei betting ili kuendesha maisha yangu au kutajirika nabeti kutafuta hela ya ziada kwa matumizi ya ziada matatizo yangu ya msingi nayatatua kwa mshahara wangu na sio betting.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…