Kuna kipanga hanna yeye ni sniper mkimya tu anadungua na kusepaπ€£Mi kama Lissu najitetea mwenyewe na wote nawatoa knockout πΉπΉ
Kuhusu id za manyau manyau? πΉπΉKuna kipanga hanna yeye ni sniper mkimya tu anadungua na kusepaπ€£
Ndimu mkata shombo.Mi kama Lissu najitetea mwenyewe na wote nawatoa knockout πΉπΉ
Hiyo ya O na hisi nilisha ignore kitamboπ€£Kuhusu id za manyau manyau? πΉπΉ
Min wewe ndo ulichelewa kujua, sisi wacuba tulizijua muda..!! Muulize mariposa siku niliyomchallenge kuhusu id zake akwambie, halafu siku nyingine tena tulikua na coca kwenye uzi wake wa kusema anasaidia watu tukawa tunamcheka kumbe wenzake kitambo tunammanya..!!
Sasa achana na zile id ambazo aliweka namba moja zote, kuna nyingine hizo huwezi kujua mpk tukufungulie codes majasusi πΉπΉ
Kuna moja hiyo inajiita zero minus ifatilie.
Oya Intelligent businessman hivi mwanao zero yupo?
Unawajua kina Meridian Biao ?Bora kuweka pesa international banks.
Ko amesha kuwa mwanangu ehh π π¦Kuhusu id za manyau manyau? πΉπΉ
Min wewe ndo ulichelewa kujua, sisi wacuba tulizijua muda..!! Muulize mariposa siku niliyomchallenge kuhusu id zake akwambie, halafu siku nyingine tena tulikua na coca kwenye uzi wake wa kusema anasaidia watu tukawa tunamcheka kumbe wenzake kitambo tunammanya..!!
Sasa achana na zile id ambazo aliweka namba moja zote, kuna nyingine hizo huwezi kujua mpk tukufungulie codes majasusi πΉπΉ
Kuna moja hiyo inajiita zero minus ifatilie.
Oya Intelligent businessman hivi mwanao zero yupo?
πΉπΉπΉ Ila chino una vimaneno vya uswahilini wewe..!!Ndimu mkata shombo.
Hao wahuni tunaishi nao min uta ignore wangapi? πΉπΉHiyo ya O na hisi nilisha ignore kitamboπ€£
Mwanao sana πΉπΉπΉKo amesha kuwa mwanangu ehh π π¦
Wajomba kumbe mpo hewani mnaendelea kupiga story kimya kimyaππππCRDB is losing big time na ni fursa ya pekee kwa washindani kupiga pesa
Njoo kule unioneshe ulivyopendeza na Uzi wako.πΉπΉπΉ Ila chino una vimaneno vya uswahilini wewe..!!
πΉπΉπΉ Toka helsi atoe pesa zetu awachangie veggies hata hilo team silipendi tena..!!Njoo kule unioneshe ulivyopendeza na Uzi wako.
Na hersi hana dogoπΉπΉπΉ Toka helsi atoe pesa zetu awachangie veggies hata hilo team silipendi tena..!!
Haija wahi, Karudi, ila mwacheni apumzike ππMwanao sana πΉπΉπΉ
Watazomewa hadi washangae πΉπΉNa hersi hana dogo
Na Leo mama lazima aje na comeback pitia wananchi.
πΉπΉ Ngoja nikamchokoze..!!Haija wahi, Karudi, ila mwacheni apumzike ππ
Kabadili jina, hadi I'd mwacheni apumzike kwa amani πππΉπΉ Ngoja nikamchokoze..!!
πππππTajiri ana laki 5 πΉ
Naona unapita na upepo wa CRDB π€£
Wewe hata account huna ila upo kuwajaza member hapa..!!
πππππMimi juzi nililipia mzigo wa 1.8m kutoka kwenye akaunti Yangu ya CRDB kwenda NMB......
Hela inaonekana imekatwa lakini kunakohusika haijafika.......
Baadae mchana napokea sms kuwa muamala umerudishwa lakini nikiangalia kwenye akaunti yangu hela haijarudishwa......
Nimefika ofisini kwao wamenipa fomu ya malalamiko alafu wakaniambia nisubirie.......mpaka ijumaa ndio nirudi!!
Hapo kaunta nimekuta watu kibao macho yamewatoka....hawa jamaa mpaka mambo yakae sawa watasababisha ongezeko kubwa la wagonjwa visukari na presha