Hatimaye nimefanikiwa kutoa pesa zangu zote bank ya CRDB

Ni balaa!
Kuna baadhi ya wateja mitonyo imeongezeka tofauti na salio lililokuwepo,kuna wenzangu na Mimi hata kile kidogo kimelambwa,wanakimbizana bank!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila Dr manyau nyau, niliwahi mfurusha na li parody lake fulani.
Hatokaa anisahau. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila Dr manyau nyau, niliwahi mfurusha na li parody lake fulani.
Hatokaa anisahau. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
😹😹😹 Manyau nyau jau sana..!!
Unakumbuka ile siku tulivyokuwa tunamkaanga kuhusu hiyo misaada yake akaja na maparody yake kujisifia kweli anatoa misaada na wao ni wanaufaika..!! 🀣

Halafu ule upepo na min me akajazwa akajaa akawa anamsifia na kumuelewa sana humu JF tukabaki tunacheka..!!

Tukiwaambia JF ni kichaka hawatuelewi..!! 😹
 
Nchi kama Tanzania huwa nikisikia visa vya namna hii huwa nashangaa kutowaona ma lawyer au gradute kwenye ishu kama hizi, maana hapa ndipo mahali pakuongezea rate ukishindwa


Nchi za wenzetu ma lawyer wapo wanapambana kutafuta weaknes ili wazitumie na wakishinda rate yao kwa public huongezeka.


Imagine lawyer mmoja akawakusanya wahanga then akajipanga kafungua kesi mahakamani then mambo yakaenda anaweza shinda au kushindwa lakini reputation yake katika jamii itakuwa kubwa hata akishindwa
 
Walipita na masalia ya mshahara jana nikaona nikienda tawini watanipa mafomu nijaze nimepiga simu huduma kwa wateja leo wamerudisha chenji zangu, Hapa nafikiria kubadirisha bank ya kupitishia mshahara.

Walitaka niishi maisha magumu hizi wiki mbili.
 
Nmb wamewazidi mbali sana CRDB.

......CRDB huduma zao zimekuwa mbovu sana, hata kwa mawakala ni mara nyingi sana mtandao wa CRDB unasumbua ila NMB upo sawa muda wote.
Kipindi cha Kimei hali ilikuwa tofauti
 
Walipita na masalia ya mshahara jana nikaona nikienda tawini watanipa mafomu nijaze nimepiga simu huduma kwa wateja leo wamerudisha chenji zangu, Hapa nafikiria kubadirisha bank ya kupitishia mshahara.

Walitaka niishi maisha magumu hizi wiki mbili.
Bora ww wamekufanyia chap chap......
 
Mwaka Jana nilitembelea tawi lao wilayani hapa lengo kumfungua account niweke vichenji vyangu vya malengo ya muda mrefu wahudumu wakawa wananiangalia wanahudumia kwa nyodo nikasepa nikaenda nmb.. sasa hivi na Mimi ningekuwa napiga mayowe kama Ninyi ndugu zangu hapa
 
CRDB is losing big time na ni fursa ya pekee kwa washindani kupiga pesa
Hilo halipo kwa Tanzania, watz hawajafikia level ya kususia bidhaa. Off course wanaweza kususia bidhaa mtandaoni ila wakizima data wananunua bidhaa zilezile walizo brag online kwamba hawatazitumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…