Hatimaye nimefikisha mwaka mmoja without Sex

Faida nilizopata ni nyingi Sana

Mimi sio yule wa mwaka 2025 -july najishukuru,

Hamu ya sex sometimes ilikua kali sana ila nilifanya mazoezi makali Gym na kufikiria mambo magumu yasiyo na majibu kwenye real world
Hujamkosea Mungu kweli! Kila kiungo cha mwili kina kazi yake. Umekitesa kiungo fulani, kikiuliza swali hukipi jibu! Huo sio unyanyasaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…