Hatimaye nimekata tamaa ya kujifunza Hacking. Ninachoki-experience sio nilichokidhania

Sasa atajuaje structure bila kuifahamu html,CSS,Java script,n.k?
 
Mkuu Kwanza nikupongeze kama uliandika hapo juu ni ya kweli Jifunze Kwanza kuhusu script kidie then Rudi tena class kama jamaa alivoshauri hapo kua inaonekana umejifunza tuu juu juu go deep...
Ila kama lengo lilikua ni wizi wa mamilioni benki Kwa hiyo knowledge iyonayo bado Sana inabidi ujifunze mbinu za utapeli...
Unaweza tumia mbinu za kina yahoo boys lakini consequences zake ni shida tupu [emoji1787] ukidakwa na FBI mpe hai Legend Hushpuppi
 

Wewe sasa ndio umeongea.
Ukitaka penetrate anywhere, jua kwanza protocols zinafanyaje kazi, how protocol mbili au zaidi zinawasiliana maybe utapata weaknes zake so hapo kwenye weakness ndio utafute upenyo wa kupenyea.

Mfano hacking ya Wi-Fi password inahusisha disturbing and kicking out device zilizokuwa connected kwenye wifi then unakaa kati unasubiri device zianze kuconnect kwenye Wi-Fi udake password pindi zinafanya authentication.
 
Nipe nambari yake huyo jama nimpe kaz fulan
 
Sema wabongo tunaweza Sana kuelezea theoretically
 
Wabongo bwana. Asijue terminology ya ki-IT utamkoma. Kwa mfano hili neno la ku ..hack, wamelikariri wengi kweli na kila mtu anajua kuelezea mambo ya ku-hack na kila abnomality yoyote kwenye kutumia computer ni kazi ya hackers! Ni hivi. Hakuna kusomea mambo ya ku-hack per se, bali watu hubobea kwenye IT na kuamua kuitumia hiyo elimu vibaya. Umeshasikia watu wanajifunza ujambazi? Ila kuna majambazi waliokubuhu kwa sababu eg walikuwa wanajeshi na wakaamua kutumia ujuzi wao vibaya.
 
kwanza lazima ujue hacking.ni.Technics ,then hacking ni illegal, wewe unachotakiwa kujifunza ni Ethical hacking. hichi ndicho unafundishwa, na kipo legally kufundishwa. hatua za hacking . tunaanzia Footprinting, Scanning, penetration, stealing of information . penetration na stealing of information ni illegal. ukiajiliwa kama Ethical hacker, unaishia keenye scanning.unascan ili kujua open.ports na kuzifanyia reconfigurations.
systems nyingi zimetengenezwa kwa programiing na database , unaweza ukaambiwa ujifunze lugha flan, programming language. au database flan ,say oracle. ukijua.hizi, siyo.kwamba zitakusaidia kufanya hacking, asilimia 100, hapana hizi zinakuongezea uzoefu na technics pale unapokutana na database ya jinsi hiyo, inakusaidia kujua how to.penetrate kwenye hiyo database. unatakiwa kujifunza njia nyingi ya kuvamia systems na kudecript ports za datasaver ili.uweze kupata taarifs, sometimes unajifunza networking, sana sana seven leyers za network deeply.hiyo.itakusaidia remote acces ya systems yoyote,, ujifunze operating systems .ndiyo maana unajifunza linux, window, ili uweze kutrack systems pale unapofanya penetration. Hacking siyo tu kujifunza darasani. hacking ni juhudi zako binafsi.kujisomea na kupractice. jifunze kwa bidii ,Kuna tools pia za kujifunza.LAKINI.NARUDIA TENA HACKING NI ILLEGAL, ETHICAL HACKING Ndiyo iko.legal kujifunza. Ethical hacker ni Mlinzi,.ni askari. ila Hacker ni mwizi, ni kibaka ni jambazi. na ukikamatwa ,utafunguliwa mashitaka kwa, sheria ya mitandao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…