Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ndio mkuu sijui.. una lingine tena ?
🥴🥴🥴🥴Yes! Kaoge sasa!
Sasa atajuaje structure bila kuifahamu html,CSS,Java script,n.k?Ushauri wangu, usikate tamaa mkuu!
Jifunze mdogo mdogo, huwezi ingilia web application.. ikiwa hujui namna inavyokuwa delevoped na na namna inavyo run behind the scene.. namvyosema uijue Web App sio lazima ujue ku code.. jua structure yake in and out.. narudia tena sio lazima ujue ku code.. kutokea hapo anza kuwaza namna gasi ya ku bypass hizo structure.. ukishaweza tu.. basi umepiga hatua.. hii ina apply kwenye maeneo mengine pia.. Usikate tamaa mzee baba.. hakuna jepesi kwenye maisha bila uvumilivu kutoa ngumu
inategemea na goal zake.. web ina front na back end.. kwenye madiko diko ni back end ( ambapo utakuta site structure, system, data, and logic etc ).. Hizo html, css ni front endSasa atajuaje structure bila kuifahamu html,CSS,Java script,n.k?
Ndio naelewa,ili kujua muundo wa web lazima apite huku front end kwanza?inategemea na goal zake.. web ina front na back end.. kwenye madiko diko ni back end ( ambapo utakuta site structure, system, data, and logic etc ).. Hizo html, css ni front end
Sio lazima, kujua front end ili kuingilia mfumo..Ndio naelewa,ili kujua muundo wa web lazima apite huku front end kwanza?
kwa level ya kuwa hacker mzuri unaweza kuwa kilaza.Kwahiyo mkuu Mimi ni kilaza?
Mkuu Kwanza nikupongeze kama uliandika hapo juu ni ya kweli Jifunze Kwanza kuhusu script kidie then Rudi tena class kama jamaa alivoshauri hapo kua inaonekana umejifunza tuu juu juu go deep...Wakuu
Nilipokuwa nasikia kuhusu hackers na case zao za kuvuta mpunga kwenye bank mbalimbali ilinivutia Sana nikatamani kufanya hacking my career.
Nikaanza kufuatilia nitaanzaje?
Niliambiwa nijifunze programming nikajifunza python, namaliza python nikajifunza html, Bado cc na java duh!
Nikawa najifunza kwa kuangalia video tutorials za you tube.
Then nikajaribu kufuatilia nikaambiwa siwezi kuwa hacker bila kujifunza networking, nikajifunza mwenyewe Mambo ya PAN, WAN, na LAN na jinsi network inavyofanta kazi, lakini haikuishia hapo nikaambiwa nijifunze kutumia kali Linux nikajifunza.
Nilistop kujifunza theoretically baada ya kuambiwa "
don't learn to hack , hack to learn"
any way nilichokuja kugundua ni kwamba hacking sio vile nilidhani kilichonikatisha tamaa
Hacking sio maajabu Kama nilivyodhani , hata kupata password kwa kutumia Red Hawk kwa mfano inatumia njia ya ku guess Kila password yaani una run crack kwa mda mrefu hata wiki kabisa mpaka pale itakapopatia password ya kweli.
Kumbe huwezi kuhack laini ya mtu na kuvuta mpunga m pesa Ila kwa njia moja tu inayoitwa sim card cloning ambayo inahitajika physical access hivyo huwezi kufanya Hilo Jambo remotely labda umshawishi mtu akupe baadhi ya taarifa.
Kumbe huwezi kuhack account ya bank ya mtu kwa siku moja au mbili , ni Jambo la mwezi au miezi na inahitaji uwe angalau na taarifa za mwanzo ambazo ili kuzipata lazima uwe tapeli kwanza.
Bahati mbaya zaidi hamna sehemu ya kujifunza Hacking ukaelewa, utapata knowledge za juu juu tu kupitia videos za you tube au online courses.
Finally naweza sema kwamba
Stop living in the world of imagination, come to reality and make great
learning hacking is nothing but wastage of time , vinginevyo labda uwe na kipaji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Thanks Mkuu kwa kukubaliana na matokeo.
Rudi kwenye njia tu za kienyeji, means utapeli wa kawaida tu, Mbona Watu tunapiga hela na maisha yanakwenda...
Pole kwa kupoteza muda wako Mkuu...[emoji23][emoji23]
Njia nyepesi ya kuwa hacker.. ni kujua mfumo kwa undani wake unavyo fanya kazi.. yani in and out.. Sasa tatizo nyie watalamu.. mnadumbukia kuanza taka hack mchongoo.. hata hujui mfumo wafanyaje kazi.. chukulia namna unavyopiga sound Ke.. ni sawa na kuipiga sound mfumo.. Pole.. lakini ... karibu tena uwanjani.. kwa mala ingine.. kwangu huwa navyofanya kazi.. na assume natongoza demu mkali.. lazima uwe na lugha nzuri na ya kuvutia
Nipe nambari yake huyo jama nimpe kaz fulanchuo cha MUST - MBEYA kawaida iyo.
kuna jamaa angu alikua anadaiwa ada around 800k af bado siku mbili tu wafanye mtiani ikabidi amtafute mwamba akamlipa 250k akahack system ikaclear deni akafanya mitiani kama kawaida.
iyo ya matokeo ni kawaida, nakumbuka mwaka juzi chuoni kwetu walihack wahuni wakajitoa kwenye supp ila waligundulika wakadisco.
Sema wabongo tunaweza Sana kuelezea theoreticallyWewe sasa ndio umeongea.
Ukitaka penetrate anywhere, jua kwanza protocols zinafanyaje kazi, how protocol mbili au zaidi zinawasiliana maybe utapata weaknes zake so hapo kwenye weakness ndio utafute upenyo wa kupenyea.
Mfano hacking ya Wi-Fi password inahusisha disturbing and kicking out device zilizokuwa connected kwenye wifi then unakaa kati unasubiri device zianze kuconnect kwenye Wi-Fi udake password pindi zinafanya authentication.
Wabongo bwana. Asijue terminology ya ki-IT utamkoma. Kwa mfano hili neno la ku ..hack, wamelikariri wengi kweli na kila mtu anajua kuelezea mambo ya ku-hack na kila abnomality yoyote kwenye kutumia computer ni kazi ya hackers! Ni hivi. Hakuna kusomea mambo ya ku-hack per se, bali watu hubobea kwenye IT na kuamua kuitumia hiyo elimu vibaya. Umeshasikia watu wanajifunza ujambazi? Ila kuna majambazi waliokubuhu kwa sababu eg walikuwa wanajeshi na wakaamua kutumia ujuzi wao vibaya.Wakuu