Hatimaye nimekata tamaa ya kujifunza Hacking. Ninachoki-experience sio nilichokidhania

Una uhakika gani kuwa ilikuwa hacked?
 
Bongo ku hack kwa njia zako hutoweza mkuu hizo waachie watu wa havard na wenye vipaj vyao , kawe tapeli tu zile za tuma kwa namba hii hvyo hutoboi
 
Acha Hzo wewe!! Kma hujui kitu usi type watto wa must na hata vyuo vingne ndo ilikuwa michezo yetu kucheza na accountant wa shule au chuo ada inakatwa pande la accountant na la shule vitu vinanyooka Ku hack sio matako mzee kila mtu lazma awe nayo
 
CyberSecurity na domains zake zote ni industry ya wanaume , ni ligi ya mabingwa, sio kila timu inaweza kucheza. Ndo maana duniani kuna zaidi ya open job positions 3,000,000 kwenye cybersecurity ambazo hazijazibwa kwa sabb ni profession inayohitaji akili nyingi pamoja na persistence , combination ya qualities ambazo wengi hawana. So unapokata tamaa kwenye cybersecurity ni either hauna kimoja wapo au vyote!
 
Nimeshindwa nikujibu nini mkuu ila punguza ujuaji
Huo ndo ukww
Acha uoga kka😂😄
 
Hacking kwa Bongo ni kuongopeana tu hata hizi account zetu za FB zina hakiwa sio kwasababu ya mautundu incredible

Zipo baadhi ya site zinakuruhusu utengenezw fake account kisha zina generate link.

Hiyo link ukiituma kwenye social media kila user atayeigusa basi login info zote zinatumwa kwenye ile fake account yako. Ndio haoo unaanza kubadilisha na password pamoja na email.

Kama ulikuwa unafuatilia kesi ya Mbowe utakumbuka maelezo ya afande Ndowo ambaye huyu alikuwa ni shahidi upande wa serikali kama mdukuzi.

Angalia namna ya udukuzi wake alioufanya.

Alipora simu ya Kingai, akapora simu ya Adamoo. Kisha akaingia nazo room.

Huko kuna device inaitwa Cellibrete ya kiisrael hiyo device ili ifanye extraction ni lazima simu iwe on.

Sasa kama tu serikali ambayo inafanya kila kitu kuhakikisha swala la usalama linakuwa poa lakini imeshindwa kuwa na watu muhimu kama hackers wakufanya vitu remotely unafikiri ni rahisi kwa watu wengine?
 
upo sahihi mkuu , lakini technologia ya computer ni pana Sana , kufahamu exactly mfumo unafanyaje kazi inakupaswa angalau uwe na degree ya computer engineering plus miaka mingne ya kujifunza mwenyewe so ni upotevu wa mda
Mkuu Kuna watu wangapi Wana hizo degree wamefanya maajabu gani? Ili uwe mtamu inabidi ufikirie nje ya box hii kitu haitaji degree kiongozi Kama nakosea nirekebishe
 
The more you type the more you get better. Mimi naweza kusema ni kati ya watu wenye typing speed kubwa sana maana naweza kutype more than 53 words per minute na bila kutazama keyboard.
Imekuja automatically tu.
Mkuu itagetemea na keyboard layout uliyozoea mfano kama Mimi nimezoea USA Niko chapa Atari ukiniletea British Arabic au french layout nambwela
 
huwezi kuwa hacker ukiwa na njaa zako ka hizo...we ukibaka unakufaa, hackers ni magenius wamezaliwa na wamekulia wakichezea computer
 
.
 
Mkuu itagetemea na keyboard layout uliyozoea mfano kama Mimi nimezoea USA Niko chapa Atari ukiniletea British Arabic au french layout nambwela
Mkuu kama ushazoea kuchapa baada ya muda mfupi vdole vinazoea. Mimi keyborad nliyozoea ni QWERTY keyboard. Na pia ukiachilia mbali mpangilio wa kéys hata keyboard yenyewe ina matter. Ukibadilisha keyboard uliyozoea au computer utagundua speed itapungua kwa sku kadhaa mpaka utakapoizoea hyo keyboard mpya.
Kuna kipindi lapto ilisumbua keyboard, baadhi ya keys zikawa hazifanyi. Nikaimap upya zile keys ambazo hazifanyi ni kaziassign new keys. Nilipata shda siku za mwanzo lakn nikaizoea. Sasa nliponunua laptop mpya isiyo na shda ilinichukua siku tatu kuzoea upya.
 
hacking is not straight forward process
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…