Hatimaye nimekata tamaa ya kujifunza Hacking. Ninachoki-experience sio nilichokidhania

Hatimaye nimekata tamaa ya kujifunza Hacking. Ninachoki-experience sio nilichokidhania

Mkuu hacking is not easy kama watu wanavyo kuaminisha. Mimu kuna dogo anasoma cyber security anaingia mwaka wa pili alikuwa ananitisha na hacking nikamwambia hebu fanya majaribio kwangu. Email yangu nii, ip address yangu nii we nitakupa chochote hack na naishi naye. Ila ni zaidi ya mwezi hajaweza hata hack pc yangu wakati tunashare same network.

Halafu mkuu ku hack kitu yahitaji iwe na knowledge ya kutosha. Bila shaka wewe unajua basics tu za python wala hauko deep kivile wakati kuna watu humu wanajua programming language hata 3 na wako deep ila hawahack hata
For me hacking ni hatua ya mbele sana,my suggestion nikujua vitu kwanza like kua system administrator,fanya kazi za network administrator jua how things work end to end then go to security hapo utakua km unavua shati because u know how things work ila ukianzia hacking without knowing how stuff works utakua unarukaruka tu.
 
Kama umesoma vyote hivyo mkuu n bado ukashindwa hata kukatungua ka blog kamoja kwa majaribio kuna vit7 vichache una-lack..
  • Cha kwanza ni passion as hacker "Ethical ones"
  • Cha pili ni will power ya kuwa hacker kwako ilikuwa kwa ajili ya Pride na sio talent
  • Cha Tatu unakosa Linkage...Yaani kulink vyote ulivyosoma ili vikupatie output moja yaani kutumia vyote ili Vilete Good Debugging
Mwambie atengeneze malware ili aweze install backdoor.. Or c2 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] atume kwenye email kama Phishing then ataoenjoy hacking

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umesoma vyote hivyo mkuu n bado ukashindwa hata kukatungua ka blog kamoja kwa majaribio kuna vit7 vichache una-lack..
  • Cha kwanza ni passion as hacker "Ethical ones"
  • Cha pili ni will power ya kuwa hacker kwako ilikuwa kwa ajili ya Pride na sio talent
  • Cha Tatu unakosa Linkage...Yaani kulink vyote ulivyosoma ili vikupatie output moja yaani kutumia vyote ili Vilete Good Debugging
Kweli mkuu
 
Kweli mkuu
Mkuu nakuongeza pia Vitabu Kajichimbie navyo hivi umalize kama ukiweza hii library kuntu sana...NAKUHAKIKISHIA UKIMALIZA HIVI LAZMA UTAKUWA EXPERT....mkuu ukimaliza hivi vyote ukishindwa kufanya MySQL injection hata ya Milard ayo 🤣🤣🤣 utakuwa hauko serious
Screenshot_20230906-214534_1.jpg


Screenshot_20230906-214036_1.jpg
 
Ukitaka kuwa hackers hakikisha unayo akili ya ziada achana na Ile unayofundishwa hakikisha unajua kutengeneza njia Yako sio ya kukopi kwa mtu.

Mfano unataka kuwa hackers wa masuala ya network hakikisha unajua misingi yote ya kuingia kwenye Networks za watu zile penetration system za ku hack mifumo ya network ukishajua

Sasa Tengeneza njia Yako.

Mfano unataka kudukua mifumo ya benki [emoji3] sio unakwenda tu unadukua hapana kwanza lazima hujue mfumo hukoje labda mfumo wa network Yao Kisha unakua unatengeneza njia zako za kuweza kudukua network ya benki hapa SASa wifi achana na zile ambazo hazina password.

Hapana zenye password ukifanikiwa utaweza kuingia kwenye Networks Yao utaweza kujua manager password zake, Cash kwani [emoji87] watakua kwenye the same network.

Alafu wewe sasa unaweza ku access taarifa mbalimbali kutokana na network walijiunga utaweza kuona website wanazotembelea password, database nk

Hivyo unaanza sasa kucheza upate taarifa sahihi [emoji1666]
 
Mkuu nakuongeza pia Vitabu Kajichimbie navyo hivi umalize kama ukiweza hii library kuntu sana...NAKUHAKIKISHIA UKIMALIZA HIVI LAZMA UTAKUWA EXPERT....mkuu ukimaliza hivi vyote ukishindwa kufanya MySQL injection hata ya Milard ayo 🤣🤣🤣 utakuwa hauko serious
View attachment 2741375

View attachment 2741379
Kama kila kitabu kina kurasa 400
Then
64x400= 25600.
Irabidi asome kurasa zote hizo.
25700
Nampa task ya kuandika simple calculator.
Iwapo atasoma kila siku masaa 3 je itamchukua muda gani kumaliza vitabu vyote.
Ku complicate kidogo, iwapo week end atapiga masaa 6 je atatumia muda gani kumaliza vitabu vyote.
Write a simple console and gui program to calculate the total tome to complete all books..
 
Wakuu
Nilipokuwa nasikia kuhusu hackers na case zao za kuvuta mpunga kwenye bank mbalimbali ilinivutia Sana nikatamani kufanya hacking my career.

Nikaanza kufuatilia nitaanzaje?

Niliambiwa nijifunze programming nikajifunza python, namaliza python nikajifunza html, Bado cc na java duh!

Nikawa najifunza kwa kuangalia video tutorials za you tube.
Then nikajaribu kufuatilia nikaambiwa siwezi kuwa hacker bila kujifunza networking, nikajifunza mwenyewe Mambo ya PAN, WAN, na LAN na jinsi network inavyofanta kazi, lakini haikuishia hapo nikaambiwa nijifunze kutumia kali Linux nikajifunza.

Nilistop kujifunza theoretically baada ya kuambiwa "

don't learn to hack , hack to learn"​

any way nilichokuja kugundua ni kwamba hacking sio vile nilidhani kilichonikatisha tamaa

Hacking sio maajabu Kama nilivyodhani , hata kupata password kwa kutumia Red Hawk kwa mfano inatumia njia ya ku guess Kila password yaani una run crack kwa mda mrefu hata wiki kabisa mpaka pale itakapopatia password ya kweli.

Kumbe huwezi kuhack laini ya mtu na kuvuta mpunga m pesa Ila kwa njia moja tu inayoitwa sim card cloning ambayo inahitajika physical access hivyo huwezi kufanya Hilo Jambo remotely labda umshawishi mtu akupe baadhi ya taarifa.

Kumbe huwezi kuhack account ya bank ya mtu kwa siku moja au mbili , ni Jambo la mwezi au miezi na inahitaji uwe angalau na taarifa za mwanzo ambazo ili kuzipata lazima uwe tapeli kwanza.

Bahati mbaya zaidi hamna sehemu ya kujifunza Hacking ukaelewa, utapata knowledge za juu juu tu kupitia videos za you tube au online courses.

Finally naweza sema kwamba

Stop living in the world of imagination, come to reality and make great​

learning hacking is nothing but wastage of time , vinginevyo labda uwe na kipaji.
Huwezi kumaster Kwa kusoma utube tutorial hizo ama course za vyuo uchwara hapa Bongo....soma nje ya nchi,pia kuwa connected na darkweb...ingekuwa rahisi ningeshare kitu hapa ubakie mdomo wazi jinsi darkweb inavyofanya kazi na the way watu wanavyotumia technology..wanamifumo Hadi ya kubadili matokeo ya education academic...kiufupi kuna mambo mengi sana

Pia Kwa kuweza kuacces dark web lazima utumie Tor browser (ONION) app pia cyo kutumia tu huna connection na link za kukupeleka huko wewe Bado pia hakuna kitu...

HACKING ni dubwana Pana sana sana sana....kuliko kawaida..Over.
 
Kama kila kitabu kina kurasa 400
Then
64x400= 25600.
Irabidi asome kurasa zote hizo.
25700
Nampa task ya kuandika simple calculator.
Iwapo atasoma kila siku masaa 3 je itamchukua muda gani kumaliza vitabu vyote.
Ku complicate kidogo, iwapo week end atapiga masaa 6 je atatumia muda gani kumaliza vitabu vyote.
Write a simple console and gui program to calculate the total tome to complete all books..
Hahaha nakupa mimi hiyo apo codes utampa 🤣🤣🤣


___________________________________
import tkinter as tk

# Function to calculate the total time to read all books
def calculate_reading_time():
pages_per_book = int(pages_per_book_entry.get())
total_books = int(total_books_entry.get())
daily_reading_time = int(daily_reading_time_entry.get())
weekly_reading_time = int(weekly_reading_time_entry.get())

total_pages = pages_per_book * total_books
days_required = total_pages / (daily_reading_time * 3)
weeks_required = total_pages / (weekly_reading_time * 6)

result_label.config(text=f"Reading {total_books} books with {daily_reading_time} hours per day will take {days_required:.2f} days.")
result_label_weeks.config(text=f"Reading {total_books} books with {weekly_reading_time} hours per week will take {weeks_required:.2f} weeks.")

# Create the main window
root = tk.Tk()
root.title("Book Reading Time Calculator")

# Create input labels and entry fields
pages_per_book_label = tk.Label(root, text="Pages per Book:")
pages_per_book_label.pack()
pages_per_book_entry = tk.Entry(root)
pages_per_book_entry.pack()

total_books_label = tk.Label(root, text="Total Books:")
total_books_label.pack()
total_books_entry = tk.Entry(root)
total_books_entry.pack()

daily_reading_time_label = tk.Label(root, text="Daily Reading Time (hours):")
daily_reading_time_label.pack()
daily_reading_time_entry = tk.Entry(root)
daily_reading_time_entry.pack()

weekly_reading_time_label = tk.Label(root, text="Weekly Reading Time (hours):")
weekly_reading_time_label.pack()
weekly_reading_time_entry = tk.Entry(root)
weekly_reading_time_entry.pack()

calculate_button = tk.Button(root, text="Calculate", command=calculate_reading_time)
calculate_button.pack()

# Create result labels
result_label = tk.Label(root, text="")
result_label.pack()

result_label_weeks = tk.Label(root, text="")
result_label_weeks.pack()

# Start the GUI main loop
root.mainloop()
___________________________________
 
Kabla hujawa hacker kwanza kua programmer, ujue vema network na jinsi software zina operate, baada ya hapo ndio uanze kujifunza security , ukisha kua master wa hivyo vitu ndio unaweza kuanza kujifinza kupenetrate kwa hizo system,

Unaweza kuqnza na simple penetration kwa method za kawaida kama injection kwenye loopholes,

Join online simulation za hach challenge zita kupa experience , ukiiva utakua sasa unaweza kuanza kingia kwenye vi system uchwara kama vya vyuoni hapa Tz, maana bongo chuo chenye mfumo wa maana ni Kimoja vingine naingia navyotaka

Ukiivya huko anza kudela na system za kati, unaweza anza na makampuni ya kawaida eg, hawa jamii forum(kwa bongo wana jitahidi)

Then nenda mbele kulingana umavyo fanikiwa

Kwa makadirio hii process inaweza ikakugharimu mpaka miaa mi 3
 
Average ideas hizi,
Mimi ni self taught python na nimeanza sina hata miezi 3. Najipa challenge ndio maana nataka kutengeneza bot ambayo nta intergrate api ya Pi Ai nione kama interfunction. Nmeanza leo. Why Pi? Kwa sababu inauwezo wa kutumia picha hivyo kwa watoto wadogo inafaa kwa sababu inatoa visuals. Pia API yake kwa sasa ni bure tu so nimeona ni nzuri kuanzia
 
Hata Kwa cm Tor browser (Onion) unaingia vzr sana na upush madeal harama vzr sana ni wewe tu ,uwe na link tu inayokupeleka huko ,kama hutojali nikutumie uone mambo yalivyo...Hii Dunia wengine hawaishi wanadindikiza
Hivi mkuu zile paypall account na mastercard za darkweb zile ambazo zipo credited ksbisa maana kuna moja nimeona ina 5000Usd inauzwa 200usd hivi ziko legit

Kwa mwenye kujua Jamani
 
Mimi ni self taught python na nimeanza sina hata miezi 3. Najipa challenge ndio maana nataka kutengeneza bot ambayo nta intergrate api ya Pi Ai nione kama interfunction. Nmeanza leo. Why Pi? Kwa sababu inauwezo wa kutumia picha hivyo kwa watoto wadogo inafaa kwa sababu inatoa visuals. Pia API yake kwa sasa ni bure tu so nimeona ni nzuri kuanzia
Ukijipa challenge, basi hakikisha unacho ji challenge ni relevant, wangapi wanatumia Bot za tele, nani anaweza kumpanmtoto wake sim yenye telegram, ni long process mtu kumpeleka, tele pia ajue bot, tena mtoto, so as deep as it goes, the less relevant it become,

Ikiwa web app, au mobile App ina make sense zaidi, Think again,
 
Back
Top Bottom