Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Ngoja Gaguti akipita huku 😁😁😁Dogo uafisa utakushinda, yaani umepewa kamisheni leo saa nane saiv ushaingia kwenye mitandao kushukuru.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja Gaguti akipita huku 😁😁😁Dogo uafisa utakushinda, yaani umepewa kamisheni leo saa nane saiv ushaingia kwenye mitandao kushukuru.
La picha mkuuNamshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Namshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.nata
Mnatakiwa kupelekwa Israel Ili mkanolewe vizuri na HammasNamshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Hatari sana huyu mjeshi. Atakuwa ameingia kambi ya Waisrael wakampa za uso
Safari bado sana, lakin si haba kwa hiki kidogoNamshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Aliyesema jeshi ni kiwanda nani?Ujinga tu,jeshi haliwezi kuunda hata bunduki.Hicho cheo umepewa ulinde kura za CCM kipindi cha uchaguzi.
Sina uthibitisho na siuhitajiWewe unauthibitisho gani kama kweli amepewa kamisheni
IdiotSina uthibitisho na siuhitaji
UsimtisheMitandao ya Kijamii itawafukuzisha jeshi ...pathetic...
Tunakufuatilia
Monduli enzi zetu...kulikuwa na bendi CTU MONDULI...je? Bado ipo?Namshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Hongera kijana, ndani ya miaka 30 tayari Generali.Namshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Mdau hajafanya jambo lolote mkuu! Isitoshe, alichokifanya kinaweza kikawa hamasa kwa watu wengine. Yumkini kuna watu wanaweza wakasaidika na ushuhuda wake wa mafanikio.
Wanajeshi nao ni binadamu. Hakuna kosa kujumuika na raia katika mambo ya kawaida.
Ni jambo la baraka kufahamu kuwa humu JF kuna kada zote: wanasiasa, usalama wa Taifa, JWTZ, Polisi, Magereza, wafanyabiashara, wakulima, madereva bodaboda, wabunge, mawaziri, n.k. Isitoshe, mtoa mada katumia anonymous id.
Ingelikuwa anatafuta sifa, angetumia id yake halisi.
Amefanya vizuri, usimhukumu.
mbona kama una ukoo na nkuru nziza??Namshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.
Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.