Hatimaye nimekuwa Luteni Usu leo

Hatimaye nimekuwa Luteni Usu leo

Wanjeshi wa bongo siku hizi wamekosa kazi mpaka wanapiga wananchi. Huko kambini inaelekea wao ni drafti kama ilivvyotokea kule congo 11 wakapotea

SA hata polisi aruhusiwi kukushika shati..
 
Mdau hajafanya jambo lolote mkuu! Isitoshe, alichokifanya kinaweza kikawa hamasa kwa watu wengine. Yumkini kuna watu wanaweza wakasaidika na ushuhuda wake wa mafanikio.

Wanajeshi nao ni binadamu. Hakuna kosa kujumuika na raia katika mambo ya kawaida.

Ni jambo la baraka kufahamu kuwa humu JF kuna kada zote: wanasiasa, usalama wa Taifa, JWTZ, Polisi, Magereza, wafanyabiashara, wakulima, madereva bodaboda, wabunge, mawaziri, n.k. Isitoshe, mtoa mada katumia anonymous id.

Ingelikuwa anatafuta sifa, angetumia id yake halisi.

Amefanya vizuri, usimhukumu.

Kaka watanzania tuna roho mbaya sana sasa jamaa kosa lake ni lipi kushukur yupo tayr kulitumikia taifa mtu anakuja juu na hasira zake sijui utafukuzwa kazi yaani africa aloyeturoga na roho zet mbaya ambazo ukiona mtu kafanikiwa unawashwa mpka makaliona ko wao hawana haki ya kujoin na public ndani ya mitandao broo taft pesa maisha yaa unafiki na roho mbaya hayakufanyi uwe na maisha bora
 
Back
Top Bottom