Mie tenaa harusi ya udugu wangu nisikupambeeee, yaan mbna wakweooo watasemaa alaaaah kijana wetu kapata mke.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mc km Mc hakikisha unanipamba sana siku hiyo mpk upande wa bwana harusi waniogope wasinichukulie powa!
Sema bwana harusi ataniharibia watoto ana sura ngumu jamani najitahidi kumuelewa nashindwa hivyo mwenzenu [emoji119]
Zitakuwepo za kutosha na starter itajumuisha nyama ya kuchoma, usipange kukosa jirani
Hivi
Smart na mahondaw waliishia wapi?
Mshana na demis je
na yule mwenye Sweta la Tanzania je?
Ukipata jibu utajituliza
Mie tenaa harusi ya udugu wangu nisikupambeeee, yaan mbna wakweooo watasemaa alaaaah kijana wetu kapata mke.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sipendi watu wapendane ningekuwa mods ningefuta uzi huu
Pombe zitakuwepo na nyimbo za lingala?
endelea kujibebisha tu humu😂 shauri yakoUsimsikilize bae [emoji23]
Lakini baby unatisha
Ni kazi yangu uduguuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani usikosee nakutegemea
Tupinge !!
Nikiachwa na my wangu Cute Wife nakunya kutoka Dom mpaka Dar.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
endelea kujibebisha tu humu[emoji23] shauri yako
dah, nishakua dogo tena 😂Dogo tulia
Mtaachana tu
Kuna kapo humu ziliwahi kuvuma sana. Mpaka zikawa zinatagiana katika kila posti lakini nazo zilipita.
Nikiwa kama mwakilishi wa timu roho mbaya ya Wabongo nasema hivi na wewe na huyo kyuti waifu wako mtaachana tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2628497
MC nipo winja winja kuchachua shereheee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uwiiii kama nakuona utavyojishebedua kuliko bi harusi[emoji1787]
siamini.... kweli Cute Wife umempenda NALIA NGWENA na sura yake kavu, na infinix yake??[emoji23]
Yaani hicho kinjunga atachokivaa bi harusi utaomba poo🤣🤣🤣🤣na vile hajui kununa weweweeeeHuyu atanibebea bwana harusi kachachuka mno [emoji1787]