Hatimaye nimepata wa kunituliza, hivi sasa mimi ni "Miminimama wa Tajiri"

Mama G anahitaji baby shower kwakweli..πŸ˜‚πŸ˜‚.

Am happy for you my dear..Mungu wetu azidi kuwalinda na mzeeke pamoja wallah..πŸ’ž

Hivi G ana kaka ake ?πŸ€”πŸ˜‚πŸ˜‚
 
 
 
 
Mtoto wako ni rafiki yangu lakini ukinikubalia ombi langu sitajali kuwa Baba yake wa kambo pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…